Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda , Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru baba T (Diamond) kwa kumuwezesha kuipata gari hiyo mpya.

“ Sante Baba T for the Top up “ aliandika zari kwenye insta story yake .

Mmh shoga angu nae anapenda drama ndo kutuambia anapendwa sana au mxieew , ila hongera mwenzangu sijui unarogaga wapi loh

IMG_4713.jpg
 
Hizi kiki ipo siku domo ata"rwafi" ili akiki,tupo na shishi na uchebe
 
Back
Top Bottom