Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma inapenda kuwakumbusha viongozi wote wa umma walioainishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma (Sura ya 398), kuwa...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube...
18 Reactions
19 Replies
840 Views
Queen Darleen awarushia vijembe GenZ awaambia waseme weeee watakuja nyamaza ,hawamshughulishi na wakitaka kupi gana waende
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja. Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows...
14 Reactions
15 Replies
847 Views
Wasanii wanapishana kufanya malipo kwa Carry mastory na Diva kuhakikisha wanapewa promo ya kuwalaghai wananchi wawapokee kwa mara nyingine. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kwa nini...
2 Reactions
2 Replies
253 Views
Rapper Chid benz akifanya mahojiano katika kituo cha radio Kenya Radiomaisha.ke amefunguka moja ya changamoto anayopitia kwa sasa yeye kama msanii wa Bongo fleva baada ya uchaguzi. Mwana hip hop...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa...
37 Reactions
287 Replies
21K Views
MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni. Kukataa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wema aendeleza vita yake na Gen Z ambao wanataka kuandamana. Ameonekana leo kuwakejeli baada ya maandamano kushindwa kufanyika mpaka hivi sasa kutokana na ulinzi mkali uliowekwa ili kuilinda...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe. Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote...
7 Reactions
19 Replies
677 Views
Asikwambie mtu bwana, miaka ya 90s ilikuwa ni Golden Eras, 1900s ndio vitu vingi viligunduliwa, mapinduzi makubwa ya ulimwengu yalitokea miaka ya 1900s. Hata hivyo miaka hiyo haikuisha kinyonge...
1 Reactions
6 Replies
491 Views
Staa wa TikTok Fanuel Masamaki Zerobrainer0 ashinda tuzo ya TikTok Video of the Year katika TikTok Awards ya Afrika Kusini mwa Jangwa Tuzo hii ni hatua ya pili kubwa katika safari yake, ikifuatia...
2 Reactions
12 Replies
713 Views
hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Kukwepa views kusua sua, African boy kaona isiwe tabu. Lipia tu ata wakiona mabots na Wahindi kikubwa namba zisome.
4 Reactions
18 Replies
737 Views
Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. . ...
12 Reactions
56 Replies
966 Views
Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi. Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume...
21 Reactions
115 Replies
4K Views
Hili life bhana, kutoka kuwa African giant mpaka kuanza kulialia, mhh nguvu ya mashabiki ni kubwa badilikeni someni upepo, mashabiki siku hizi wanajitambua, Burna Boy amekutana na siti tupu...
9 Reactions
23 Replies
982 Views
Jux ashusha ngoma zake mpya alizo ziachia hivi karibuni baada ya Gen z kuacha kusupport wasanii machawa je, asilimia kubwa ya mashabiki ni gen z ? Hii ni baada ya ngoma hizo kufanya vibaya...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom