Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Wakuu kwema, Habari za asubuhi? Njooni kidogo tuzungumze.
Hivi ipi tofauti ya MC na Rapper kwenye Hip Hop?
Nini kinawatofautisha? Nitajieni Ma-Rapper na Ma-MC.
#forgive me
Hivi ipi tofauti ya MC na Rapper kwenye Hip Hop?
Nini kinawatofautisha? Nitajieni Ma-Rapper na Ma-MC.
#forgive me