Petit Man wakuache

Mwenzangu mi mwenyewe nilianza kumsikia alipokua anatoka na kajala alipotoka jela magazeti yakawa yanasema kajala yupo na mfanya biashara maarufu tz sasa cjui ni biashara gani,mi naskia ni cordinator cjui ktk kampun ya maadame.
 
kumbe alisha mmega kajala!
 
Yaan mi mume wangu afatane fatane na mwanamke mwingine kazi wanayoifanya haijulikani aiseeee Daimond amekula hasaraaaaa
 
Yule mzaire.kazi yake ni kumuunganisha wema na vibosile.Si unaona BMW lile la wema kahongwa na mzaire.sifa nyingine jamaa ni mtumiaji mzuri sana wa Lupungu hadi dadake rais amedata.Rais aligoma kabisa kumuozesha,lakini dada kasema nisipoolewa na petit najiua..chezea Lupungu wewe
 
Lupungu ndiyo nini.......?
 
Lupungu ninii kabombe[/QUOT
Mkuu lupungu ni dawa ya mapenzi wanatumia wazaire.ikigusa urithi wa bibi tu mwanamke anakuwa kama kapatwa na degedege! Pia mzaire hashuki mpaka masaa mawili yapite!
 
Lupungu ndiyo nini.......?

Lupungu ni dawa wanatumia wazaire.wananyunyiza kwenye uume kama unanyuyiza chumvi kwenye chips.kipigo utakachopata baada ya hapo hutakisahau mpaka unaingia kaburini.ndio maana wazaire wengi wanalelewa mjini kwa mtaji wa Lupungu
 
Kwa mashabiki wa Madam Wema Sepetu watakua wanampata vyema huyu kijana. Mwanzoni nilianza kumsikia sana kwenye nyimbo za wasanii kama Dully, Tundaman, ferouz. Hapo nikagundua huyu mtu ni maarufu, ila sasa mwenzenu sielewi umaarufu wake unatokana na nini hapa mjini. Kwa anayemfahamu please anipe details!

Nasikia ni kiuno chake kwenye kuchi kuchi ndicho kinachomweka mjini ni mtumiaji mzuri sana wa kiuno
 
Lupungu ni dawa wanatumia wazaire.wananyunyiza kwenye uume kama unanyuyiza chumvi kwenye chips.kipigo utakachopata baada ya hapo hutakisahau mpaka unaingia kaburini.ndio maana wazaire wengi wanalelewa mjini kwa mtaji wa Lupungu

aiseee.....ndiyo maana wadada wakitembea na wazaire wamekwisha habari yao....

hiyo dawa inapatikana na kwa wanawake....(utani)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom