TANZIA Buriani msanii H.Mbizo mzee wa Nilonge Nisilonge

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mungu amemchukua mapema sana msanii H Mbizo alitamba na wimbo wake wa Nilonge Nisilonge
Account ya instagram ya msanii riyama ally imeandika

Screenshot_20230128-085216.jpg

==============

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya "Nilonge Nisilonge" miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki Dunia, Januari 27, 2023.

Kwa mujibu wa baba wa marehemu, Juma Mbizo, msanii hiyo amefikwa na mauti akiwa Morogoro ambako alipelekwa kwa matibabu, kutokana na maradhi ya mgongo na mguu yaliyokuwa yakimsumbua kwa takribani mwezi mmoja.

Marehemu H Mbizo anatarajiwa kuzikwa Jumapili Januari 29, 2023 Jijini Dar es Salaam.
 
Rambirambi tunatuma kwenye namba gani?
TANGAZO...

Habari za muda huu, mwanamuziki mwenzetu H-MBIZO amefariki dunia

Hivyo basi kama ulivyo utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha nakaribisha michango kwa namba ya Airtel money 0692 421907 Jina litatokea Hamadi Seleman ( HamaGuy )

HATA KIDOGO KITAWAFUTA MACHOZI WAZAZI WAKE

1.Adam juma 10,000/=
2.Mr Tz 20,000/=
3.Ebreezy ( Ibra Max ) 20,0000
4.Matonya 5,000/=
5.Sam Mapesa 5,000/=
6.Banana Zorro 10,000/=
7.Jhiko man 10,000/=
8.
9.
10.
 
Taarifa hii nimeitoa kwenye group la WhatsApp la MVO9 Records.
 
TANGAZO...

Habari za muda huu, mwanamuziki mwenzetu H-MBIZO amefariki dunia

Hivyo basi kama ulivyo utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha nakaribisha michango kwa namba ya Airtel money 0692 421907 Jina litatokea Hamadi Seleman ( HamaGuy )

HATA KIDOGO KITAWAFUTA MACHOZI WAZAZI WAKE

1.Adam juma 10,000/=
2.Mr Tz 20,000/=
3.Ebreezy ( Ibra Max ) 20,0000
4.Matonya 5,000/=
5.Sam Mapesa 5,000/=
6.Banana Zorro 10,000/=
7.Jhiko man 10,000/=
8.
9.
10.
Tafuta namba sahihi ya wahusika hii ni scam watu wataibiwa na hela haitowafikia walengwa wanaondesha msimba

Rip
 
Back
Top Bottom