DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO
Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo...
Sio mfuatailiaji sana Wa tamthilia ya mwantumu DSTV nimeangalia Mara kadhaa ila sikuwahi kutambua kama kaboba ni Joti.
Kama kwa hakika joti ana kipaji siku zote nilidhani kaboba ni msanii...
Snoop Dogg, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus Jr., alisababisha mshtuko mkubwa Hollywood baada ya kutangaza kuwa amekuwa Mkristo mpya aliyezaliwa upya. Hivi karibuni alitoa albamu yake ya...
Dah huyu Mwakinyo.
====
"Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa...
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio...
Wale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile...
Utapenda jinsi Chid Benz alivyokuwa akiulizwa maswali na mtangazaji pale Mlimani City, Siku ya Wapendanao wakiwa Red Carpet usiku wa mahaba ndi ndi ndi
Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza
CHID...
Huyu jamaa toka atekwe na kuachiwa kwa masharti akaona isiwe taabu akaamua kukimbilia zake Marekani mpaka leo huku nyuma akiiacha familia yake Tanzania.
Kumekuwepo na tetesi mtaani kuwa Roma...
Habari ndugu zangu
Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la ndoto zake aina ya lamborghini na kuwa miongoni mwa mastaa wachache kutoka Afrika wanaomiliki magari ya kifahari.
Kupitia...
Hakuna vitu sipendi kama kuona video ya mziki msanii wa bongo ana rusha rusha mikono kwa ishara za kuiga kwa wasananii wa hip-hop wamarekani bila kujua kama zina maana au laa mwenyewe akijua ni...
Barua ya beki, Dani Alves aliyomwandikia aliyekuwa mke wake Joana Sanz imefuchuliwa lakini beki huyo akiendelea kusota jela kufuatia kesi ya ubakaji inayomkabili.
Beki huyo wa zamani wa...
Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe mh Mwijaku alitaka kurusha ngumi Mbele ya waandishi wa habari baada ya kuambiwa na mwanaccmwenzake kuwa Yeye ni CHAWA.
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha...
Kwaanzia Majani, Said Commorien, De Opera, master jay. Wote wapigaji tuu. Wamelostisha wengi sana.
Master jay arudi tu uingereza kuchuma matunda.
Historia itaendelea kuwahukumu.
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho...
Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea.
Huko...
Rapa huyo anayejiita Mfalme wa #NewYork alikumbana na shambulio hilo akiwa chumba cha Mazoezi peke yake bila walinzi huko #FloridaKusini ambapo kundi la Wanaume kadhaa walimvamia na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.