Kwa Tanzania Wangapi mnawakumbuka kikundi cha EAST COAST enzi hizo wanatamba na kina GK,AY Mwana FA , Pauline zongo, Snea etc kwakweli Dunia ya Sasa hivi Kuna uchache sana wa vikundi vya muziki...
Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana.
Hata Kajala wanampaisha tu lakini Muna ana umbo zuri bana
Kwa wale ambao wamebahatika kuwa na wadogo wa kike. Kwanza ni furaha na inapendeza sana kuona ndugu wakipendana na kusaidiana katika mambo mbalimbali. Embu soma mkasa huu.
Rabia alikuwa akiishi...
Nina ufungua uzi kwa kumtambulisha huyu kamanda kwa namna hii.
Farid Kubanda alizaliwa August 13 katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Sababu mtoto kwa mama hakui alilazimika...
Habari ya uzima wapendwa,
Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta mtu wa kusimamia misingi wangu yani management.
Kama unawiwa naomba tuwasiliane.
+255693214177
Kwenye platform...
Sikusudii mjadala wa 'Team' za washabiki.
Kwa kawaida wanamuziki wote wakubwa duniani, huwa wanalo kundi fulani la kijamii ambalo huko hukubalika zaidi. Walalahoi na waduni kielimu-Uswahilini...
Huyu jamaa amewatoa wasanii kibao kuanzia akina alikiba, Queen Darleen, hata Nai Nai Ommy Dimpoz na ngoma kibao ambazo huenda hujui kuwa ni mkono wake maana alikuwa haweki signature kwenye nyimbo...
Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi
Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi...
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Star wa Bongo Flava, Harmonize amemchana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na kumwambia aache kumzungumzia vibaya wakati bado anahangaika kutaka warudiane.
Mzuka wanajamvi!
Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya...
Habari?
Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena.
Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;
1. Kiguu na...
Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond..
NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI.
Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako...
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikifwatilia muziki zaid ya miaka 20 ila toka nianze kusikiliza nyimbo za huyu jamaa juice WRLD nikwamba nimekua addicted na nyimbo zake nina nyimbo zake zaid ya 1000...
Madai Mapya ya Unyanyasaji wa 'Dancers' yaibuliwa dhidi ya Mwanamuziki Lizzo, (Melissa Viviane Jefferson) baada ya Watu 3 kufungua madai kama hayo Wiki iliyopita
Mawakili wanaowakilisha Wacheza...