Tuburudike kidogo na haya mapya ya bibi kikongwe aliyeolewa na serengeti boy

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
"Ilikuwa ni Kiki, sina kitu niko apeche alolo, najutia nimejidhalilisha"- Bibi wa miaka 60

"Naomba radhi kwa Watanzania wote kwa hiki kitu kilichokuwa kinaendelea naomba msamaha kwa niliowakwaza mimi ni binadamu kama wao naomba wanisamehe sana, nataka niongee ukweli kwamba hiki kitu kilichokuwa kinaendelea mtandaoni kusema kwamba yule kijana ni mpenzi wangu, siyo kweli"

"Yule ni kama mjukuu wangu, ni kama mwanangu, ila yeye alinifata mimi akaniambia mama wewe si msanii? nikamwambia ndio mimi ni msanii, akaniambia nina wimbo wangu niliurekondi muda mrefu nataka niutoe, nataka tuigize wewe uwe mpenzi wangu nikuoe, akaniambia atanilipa pesa nikikubali kufanya hivyo, basi kwakuwa mimi ni msanii nilikubali nikaamua kufanya kama alivyotaka"

"Lakini hakukuwa na ukweli wowote juu ya hili, yale maneno yote niliyokuwa naongea nilikuwa naandikiwa, nimeamua kusema ukweli kwasababu nimeona nazidi kutrend hadi nchi za nje lakini hakuna ninachokipata, hajanilipa hata senti tano, ananizungusha kila siku nikimwambia anasema ooh ngoja kwanza, kalikwenda kakarudi, yani hanipi majibu ya kueleweka, mara anasema nisuburi kidogo tutaanza kupata matangazo ya makampuni tutatajirika, yaani kunizungusha tu na wala sina miaka 60 nina miaka 63"

"Ni uongo, mimi mume wangu hajafa yupo hai ila tulishatengana, wala sina watoto sita nina watoto wanne tu ambao nimewaumiza sana kwa hiki nilichokifanya mpaka wanalia, wale waliokuwa wanajitokeza hata siwafahamu, nimedhalilika mimi naomba Watanzania mnisaidie sina kitu, yale magari na nyumba za kisasa tulikuwa tunaenda kupiga picha tu hakuna mwenye gari kati yangu mimi na yeye"

"Hapa nilipo mimi apeche alolo, sina hela!! Sina ma-flem mimi, yani hata huo uwezo wa kusema ninunue baiskeli mimi sina, sina uwezo wa kununua hata nyumba moja mimi mwenyewe naishi kwenye banda na huyo kijana sifahamiani nae hata kidogo alinitafuta kwa ajili ya kiki tu, hakuna nilichopata zaidi ya aibu, Watanzania naomba mnisaidie angalau nitoe filamu zangu nifute machozi maana mimi ni msanii nimecheza filamu kadhaa ikiwemo Tamthilia ya Pazia"- amesema bibi huyo.
FB_IMG_1692375844626.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah aibu aliowatia wanae sio ndogo. Tuukatae sana umaskini angekua amejipata kwenye enzi zake asingekubali ujinga alioletewa. Ila ndio picha halisi ya watu wazima tulionao sasa imagine mtu ana 63 na hawezi chambua lipi liingie kwenye maisha yake lipi alipotezee hata kama hana hela.
 
"Ilikuwa ni Kiki, sina kitu niko apeche alolo, najutia nimejidhalilisha"- Bibi wa miaka 60

"Naomba radhi kwa Watanzania wote kwa hiki kitu kilichokuwa kinaendelea naomba msamaha kwa niliowakwaza mimi ni binadamu kama wao naomba wanisamehe sana, nataka niongee ukweli kwamba hiki kitu kilichokuwa kinaendelea mtandaoni kusema kwamba yule kijana ni mpenzi wangu, siyo kweli"

"Yule ni kama mjukuu wangu, ni kama mwanangu, ila yeye alinifata mimi akaniambia mama wewe si msanii? nikamwambia ndio mimi ni msanii, akaniambia nina wimbo wangu niliurekondi muda mrefu nataka niutoe, nataka tuigize wewe uwe mpenzi wangu nikuoe, akaniambia atanilipa pesa nikikubali kufanya hivyo, basi kwakuwa mimi ni msanii nilikubali nikaamua kufanya kama alivyotaka"

"Lakini hakukuwa na ukweli wowote juu ya hili, yale maneno yote niliyokuwa naongea nilikuwa naandikiwa, nimeamua kusema ukweli kwasababu nimeona nazidi kutrend hadi nchi za nje lakini hakuna ninachokipata, hajanilipa hata senti tano, ananizungusha kila siku nikimwambia anasema ooh ngoja kwanza, kalikwenda kakarudi, yani hanipi majibu ya kueleweka, mara anasema nisuburi kidogo tutaanza kupata matangazo ya makampuni tutatajirika, yaani kunizungusha tu na wala sina miaka 60 nina miaka 63"

"Ni uongo, mimi mume wangu hajafa yupo hai ila tulishatengana, wala sina watoto sita nina watoto wanne tu ambao nimewaumiza sana kwa hiki nilichokifanya mpaka wanalia, wale waliokuwa wanajitokeza hata siwafahamu, nimedhalilika mimi naomba Watanzania mnisaidie sina kitu, yale magari na nyumba za kisasa tulikuwa tunaenda kupiga picha tu hakuna mwenye gari kati yangu mimi na yeye"

"Hapa nilipo mimi apeche alolo, sina hela!! Sina ma-flem mimi, yani hata huo uwezo wa kusema ninunue baiskeli mimi sina, sina uwezo wa kununua hata nyumba moja mimi mwenyewe naishi kwenye banda na huyo kijana sifahamiani nae hata kidogo alinitafuta kwa ajili ya kiki tu, hakuna nilichopata zaidi ya aibu, Watanzania naomba mnisaidie angalau nitoe filamu zangu nifute machozi maana mimi ni msanii nimecheza filamu kadhaa ikiwemo Tamthilia ya Pazia"- amesema bibi huyo.View attachment 2720940

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana
Naona umemkumbuka ndugu yetu Warumi kwa vitendo zaidi🤣
 
Nliwaona icu hawa nikajua tu ni kiki 🤣🤣🤣🤣 dunia imefika pabaya sio vijana sio wazee wote ni mwendo wa kiki.
 
Back
Top Bottom