Pendekezo la kumlipa Trevor Noah Randi Milioni 33 sawa na takriban Tsh. Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ili kuitangaza South Africa kama Kivutio cha Kitalii, limesababisha mpasuko baada ya...
Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki mkubwa.
Hivi ndivyo walivyofanya Paula na Kajala wakitoa misaada kwa watu wasiojiweza huko Arusha ambapo mpango huo...
Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu.
Wimbo ni mzuri...
Uzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi
Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa...
Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua.
Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada...
01) Kwa Jina halisi hufahamika kama "AGBEPA MUMBA Antoine, Christophe.
Yeye ni Mwimbaji,Mpiga Gita,Mtunzi wa Nyimbo, Mpangaji, Mtayarishaji, Mzalisaji, Promota wa Muziki, Mmiliki wa Lebo...
Mtayarishaji wa muziki namba 1 kwa sasa Nchini Tanzania, S2Kizzy ametangaza kupandisha bei ya kurecord wimbo mmoja kwake ambapo bei hiyo itaanza kutumika baada ya mfungo wa Ramadhan.
S2Kizzy...
Umuofia…
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 moja ya wasanii waliotoa hit song ni msanii Balozi Dola Soul.
Wimbo wake uliompatia umaarufu na mpaka leo unatamba ni ule “Balozi bado nipo”
Ni wimbo ambao...
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.
Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your...
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa...
Ukiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .
Ambwene Mwasongwe.
Boaz dunken.
Dr ipyana.
Abiudi misholi.
Paul mwangosi.
Wanaimba nyimbo katika roho na...
Nyumba ya Bakhresa
Nyumba ya 50 cent
Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei...
Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.
Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.
Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila...
Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua...
Dada ana uthubutu Sana Kwa hilo nampongeza Sana
Itoshe kusema Kwa wanawake wenzake hakuna wa mfikia kina LUNYA, na wadada wengine wajipange kujitosa kumjibu KING KALI ni ushujaa mkubwa Sana
Msanii anayeunda kundi la TNC (Temba, sir nature na chege) chege amefunguka kuwa amestajabishwa na comment ya Sir Nature sina uhakika Yule ni nature mwenyewe kwenye social media kudai kalipwa...
Aisee huyu dogo ni genius wa muziki wa bongo.
Nyimbo za vilio vya mapenzi yuko poa. Sikiliza Inatosha na Unanionea utanielewa. Nyimbo za kuruka sikiliza Mama Amina. Nyimbo za kufurahia penzi...
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao...