Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,525
22,016
Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki mkubwa.

Hivi ndivyo walivyofanya Paula na Kajala wakitoa misaada kwa watu wasiojiweza huko Arusha ambapo mpango huo kabambe unaongozwa na Irene Uwoya ikiwa ni moja ya hatua za kurudisha shukrani kwa wakazi wa Arusha baada ya kumpa ushirikiano mzuri katika maandalizi ya Filamu yake mpya ya OLEMA tangu ilipoanza mpaka kumalizika.

Ingekuwa sawa endapo wangetoa hiyo msaada kimya kimya, na Mungu angewabariki hakika.
1694185342201.jpg
 
Hao ni watu wa media, wanapenda media,bongo zao zinafikiri ki media,kula yao inategemea media!. Na hata hapa umefanikisha kuwaweka kwenye media! Wanacheka kama hivi...😂
 
Inabidi niwe mpole halafu kama ni hivi mbona ni halali tu wao kutumia media kwani Kuna tatizo lolote...😂
Hakuna tatizo kutangazwa makalio yao maana huko ndiko hupatia vijihela vya kufanya maonesho ya makalio yao 😂
 
Back
Top Bottom