Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Usiku huu nilikuwa napitia prospecta ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ya mwaka 2008/2009, lengo nilikuwa nataka nijiridhishe kama ni halali kwa Waziri Kamala kuendelea kujiita DR. Nimefanya hivyo nikijua...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
3 Reactions
91 Replies
27K Views
Wakuu kwema? Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa. Hivi ni collabo gani ya Albert Mangwair ukiiskliza unasema humu Cowbama alifunikwa. Iwe yake au ya kushirikishwa. Ebu tutaje kwa kila mtu na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia. 👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona...
58 Reactions
327 Replies
27K Views
Kuna ishu nimeona kuhusu Zamaradi kuna mfanyakzi wake mmoja ambaye ni director wa vipindi mojawapo ni the gram. Anaitwa Meggy analalamika hajalipwa pesa yake miezi 24 sasa sawa na million 19...
10 Reactions
240 Replies
21K Views
Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake...
60 Reactions
209 Replies
17K Views
Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi BabaMorgan ni miongoni mwa wafuasi wako kati ya wale wengi wanaopenda kile unachokifanya unapokuwa nyuma ya kipaza sauti(mic) uwezo wako ni masterpiece. Nimefurahi sana kuanzishwa na kufanya...
20 Reactions
51 Replies
4K Views
Ni muda mrefu tumekua tukisikia stori kuhusu jamii za siri kama vile Illuminati, Freemasonry na nyinginezo zikihusishwa na mafanikio ya wasanii au watu maarufu Duniani ikisemekana kuwa wameuza...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature...
32 Reactions
367 Replies
25K Views
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa...
16 Reactions
123 Replies
14K Views
Mwamba tuvushe...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Hivi hii story 3 ya Jay Moe ilitoka mwaka gani?
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha".
3 Reactions
8 Replies
956 Views
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya...
41 Reactions
554 Replies
47K Views
Sina mengi.. Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka?
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…