Doja Cat kukiri kuwa ILLUMINATI, hofu ya wageni (aliens) duniani

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
Ni muda mrefu tumekua tukisikia stori kuhusu jamii za siri kama vile Illuminati, Freemasonry na nyinginezo zikihusishwa na mafanikio ya wasanii au watu maarufu Duniani ikisemekana kuwa wameuza roho zao.
-
Doja Cat ni miongoni mwa hao wasanii ambao kwa muda sasa mashabiki zake wamekua wakimuandama kutokana na namna anavyojiweka wakimtuhumu kujihusisha na jamii ya siri ya Illuminati, hata hivyo Cat anaonyesha kutojali kelele za mashabiki zake.
-
Majuzi aliachia video ya wimbo Paint The Town Red, Katika video hiyo ameonyesha ishara nyingi za mafumbo kuhusu Reeper, Beasts na ishara maarufu ya One Eye akilitoa jicho lake la kushoto mwanzoni mwa video na kulirudisha mwishoni mwa video na kufanya ishara za kichawi.
-
Anyways Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali na wachambuzi wa lugha za ishara walitafsiri kuwa msanii huyo alipotoa jicho lake mwanzoni mwa video na kudondokea kuzimu juu ya Beasts inaonyesha aliuza roho yake, Kitendo cha kurudisha jicho lake mwishoni kinamaanisha anataka kurudi katika hali yake ya kawaida.
-
Sasa huenda tukaunganisha ujumbe au tafsiri hii na hiki alichochapisha mtandaoni masaa machache yaliyopita ambapo msanii huyo ame-post picha zake na kuandika kuwa alijiunga na ILLUMINATI, Doja ajaeleza zaidi kuhusu Kwanini ijapokua wengi wameanza kumuhofia kuvunja sheria za jamii hiyo ya siri.
-
Tumekua tukisikia fununu kuhusu ujio wa wageni katika Dunia yetu viumbe wa ajabu kutoka Nj'e ya sayari ya Dunia (Aliens) Viumbe hawa Inasemekana wana teknolojia ya hali ya juu wakiwa na uwezo wa kufanya Human Manipulation au Cloning yaani kumtengeneza mtu, Teknolojia ya AI na utengenezaji wa Robots.
-
Katika kipande cha video mpya ya SZA inayotarajiwa kutoka hivi karibuni, Inaonyesha akicheza na mfano wa mwanaume aliye katika fomu ya roboti, Hofu kubwa ni kuwa huenda nafasi za watu zikachokuliwa na viumbe hawa, Umejiandaa vipi na Dunia Mseto Ijayo?
-
#PeaceOverInterest
images.jpg
 
wapo wengi ata kwetu yupo Diamond...nasubir watetezi wake waje kunipopoa
 
Kipindi unaona ni mziki wenzako ni ibada ya kulaani maisha yenu.
Subliminal messages zinazokupita machoni ni nyingi na huzioni Bado Backmasked Messages za lyrics zinapita maskioni na hatuzielewi.

Kanye,Dmx, XXX tentacion na wengine wengi walishaweka wazi kuhusu money,fame n power katika uso huu wa dunia ni fake power na maumivu.
 
Qcheni ujinga kuleni mziki
 
Shida ni kwamba Muziki hauepukiki, shetani mwenyewe nasikia alikua Kiongozi wa kwaya ya mbinguni
 
Mwenzake Celine Dion kaambiwa hakuna dawa ya kumtibu.Mbaya zaidi wameacha dini so hawana msaada.
Hela ya shetani haiendi bure yaani akupe umaarufu na utajiri then umkimbie?
 
Music industry huwezi wakwepe illuminated huwezi shine kwenye music bila kuuza nafsi yako kwa baba lusifa.
 
Huenda yakamkuta ya r kelly au Michael Jackson ijapokua naona huyu ni mbishi kama Kanye mbele ya Jay Z
Bado young akifika matured ataanza kujitambua na kuona the light,so akitaka kuondoka atatafutiwa skendo hata ya nyuma aliyosahau Kama walivyomfanyia R.Kelly, Celine Dion sijui kavunja masharti gani naona wamemfix wanamla mifupa kidogo kidogo soon atabakia skeleton.
Hawa wabongo wameambiwa wasioe,wakioa tu ndio mwisho wao.
 
Back
Top Bottom