Barua ya wazi(Open letter) kwako Fredrick Bundala Skywalker

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Mimi BabaMorgan ni miongoni mwa wafuasi wako kati ya wale wengi wanaopenda kile unachokifanya unapokuwa nyuma ya kipaza sauti(mic) uwezo wako ni masterpiece.

Nimefurahi sana kuanzishwa na kufanya vizuri kwa channel yako ya YouTube Simulizi na Sauti huu ni ushahidi tosha kuwa unafanya kazi nzuri ambayo imekubalika ndani na nje ya Tanzania.

Kipindi upo Radio Free Africa nilitamani sana kuona picha yako bahati mbaya haikuwezekana kutokana na teknolojia ya wakati huo unfortunately yakatokea yakutokea mkatoka RFA na huo ndio ulikuwa mwanzo wa RFA kupoteza mvuto. Ikapita miaka mingi bila ya kujua upo wapi na unafanya nini wengi tuliamini ndio mwisho wa kusikia sauti yako as you know ule msemo wa vizuri havidumu.

Mara paah nacheki TV nakutana na kipindi chako kinaitwa Chill na Sky what a surprise.. mtu ambaye nilikuwa na wish kumuona anafananaje namuona kwenye Televisheni akiwahoji watu maarufu tena katika ubora wa hali ya juu kwangu mimi ilikuwa moja kati ya siku zangu nzuri.

After that nikaanza kufuatilia kazi zako YouTube ndipo hapo nikakutana na channel yako Simulizi na Sauti channel ambayo ina contents zilizokwenda shule kuanzia zile za udaku, Elimu kupitia Fix you, interview za wasanii na wafanya biashara kimsingi unajua unachofanya by the way ile Interview na Mkunde Binti mdogo anayemiliki Hardware ilini inspire sana.

Before sijajua kama umerudi kwenye game nilikuwa na list yangu ya watangazaji ambao nilikuwa nawapenda kufuatilia show zao maana na wao wanafanya vizuri list ilikuwa hivi
1. Salama Jabir kipindi Salama na
2. Khaled Gangana kipindi nipe tano
3. Millard Ayo
Since nimenotice umerudi kwenye game na still unawasha moto kama zamani umeingia directly kwenye list ya watangazaji naowakubali hususani show zao.

Juzi kati nilikuona Posta ilibidi nisimame nikucheki tu nilitamani kuja kukupa hi na nikuombe japo hata selfie ila ilibidi nikaze kiume nipunguze shobo maana hata simu yenyewe ya selfie sina si unajua Itel tena Chama la wana.

Skywalker keep doing it brother unafanya kazi nzuri sana. Binafsi nitaendelea kuangalia kile unachofanya and if you don't mind Thursday ni Throw back ingependeza kama ungekuwa unatuletea interview za wasanii waliofanya vizuri zamani na mitikasi yao si unajua tena tushakuwa wahenga.

Mwisho nilipenda ulivyokiri kuwa ulikuwa na ndoto za kuja Dar es salaam hii dream tunashare maana na mimi kipindi nipo Namtumbo ulikuwa huniambii chochote kuhusu Dar es salaam.
 
Wewe na idol wako karibuni Sana Dsm....DSM ni ya kila mtu...

Watangazaji Wengi wanakosea Sana kufanya interview na watu "official" only ..
Binafsi natamani kuona watangazaji wanawafanyia interview watu ambao sio official lakini walikuwepo "jikoni"..

Kuna list ya watu natamani kusikia interview zao...
Madereva na wapishi wa Ikulu..
Wake za Marais..wake za waziri mkuu
Hasa Estér Sumaye....au Mrs Lowassa...
Wanasiasa kama Bulembo na Mzee Mkuchika...insiders kabisa....

Watoto wa Lowasa,Sumaye...etc...

Interview ni kipaji cha ajabu ..Hadi Leo sijawahi furahia interview kama za Larry King na Yule muiingereza alikuwa Al-Jazeera...
 
True.. Pengine hao watu ni Usalama hawana ruksa ya kuongea public.
 
Wewe na idol wako karibuni Sana Dsm....DSM ni ya kila mtu...

Watangazaji Wengi wanakosea Sana kufanya interview na watu "official" only ..
Binafsi natamani kuona watangazaji wanawafanyia interview watu ambao sio official lakini walikuwepo "jikoni"..

Kuna list ya watu natamani kusikia interview zao...
Madereva na wapishi wa Ikulu..
Wake za Marais..wake za waziri mkuu
Hasa Estér Sumaye....au Mrs Lowassa...
Wanasiasa kama Bulembo na Mzee Mkuchika...insiders kabisa....

Watoto wa Lowasa,Sumaye...etc...

Interview ni kipaji cha ajabu ..Hadi Leo sijawahi furahia interview kama za Larry King na Yule muiingereza alikuwa Al-Jazeera...
Hahahahaha,umenikumbusha documentaly moja ya FIFA ,Kombe la Dunia la 70 na 78 ,walihoji watu tofauti kabisa, humo kuna Dereva wa gari la wachezaji, dr wa wachezaji, na watu kama hao, ilinipa idea kama hii uisemayo ,
 
Wewe na idol wako karibuni Sana Dsm....DSM ni ya kila mtu...

Watangazaji Wengi wanakosea Sana kufanya interview na watu "official" only ..
Binafsi natamani kuona watangazaji wanawafanyia interview watu ambao sio official lakini walikuwepo "jikoni"..

Kuna list ya watu natamani kusikia interview zao...
Madereva na wapishi wa Ikulu..
Wake za Marais..wake za waziri mkuu
Hasa Estér Sumaye....au Mrs Lowassa...
Wanasiasa kama Bulembo na Mzee Mkuchika...insiders kabisa....

Watoto wa Lowasa,Sumaye...etc...

Interview ni kipaji cha ajabu ..Hadi Leo sijawahi furahia interview kama za Larry King na Yule muiingereza alikuwa Al-Jazeera...
Sure....Salama alikuwa vizuri sana anahoji watu tofauti tofauti wa kada nyingi nyingi ila naona siku hizi kimyaa vipindi vyake dstv vinarudiwarudiwa hakuna new content sijui kwanini
 
Enzi hizo RFA ilikuwa moto wa kuotea mbaali Daah! Kweli kitu na enzi na nyakati ni ukuta hapa unamkuta Skywalker
Fredwaa
Rebeca Mulesi
Juma Baragaza
Tonton Zuberi
Deokaji makomba
Steve moyo Mchungi
Tom chilala
Egbert mkoko
Rahabu Fredy
Mtoto wa Mama sabuni et al
 
Jamaa ni down to earth vibaya mno. Nilipishana nae kwenye media station flani akanisalimia fresh tu japo presenters wengine tena hawana hata nusu ya brand yake walikuwa wanapita tu,
Mungu ampe mafanikio zaidi 🙏🏽🙏🏽
 
Enzi hizo RFA ilikuwa moto wa kuotea mbaali Daah! Kweli kitu na enzi na nyakati ni ukuta hapa unamkuta Skywalker
Fredwaa
Rebeca Mulesi
Juma Baragaza
Tonton Zuberi
Deokaji makomba
Steve moyo Mchungi
Tom chilala
Egbert mkoko
Rahabu Fredy
Mtoto wa Mama sabuni et al
Kweli mkuu ulikuwa shabiki wa RFA ila Rahabu Fred alikuwa anajua sana kipindi cha kutafutana kile sikumbuki kilikuwa kinaitwaje ila itoshe kusema RFA iliwakutanisha mafundi
 
That's why Wasanii wanapenda kufanya nae interview ana haiba ya kipekee sana huyu jamaa.
Sanaaa mkuu kuna interview alifanya na herieth Paul na akampa huo ukweli kuwa yupo down to earth, ni yule mtu ambaye ukikutana nae live na anavyokuwa kwenye show huoni tofauti kabisa. Anaheshimu kila mtu kwa impression niliyoipata kwake 🙏🏽🙏🏽
 
Enzi hizo RFA ilikuwa moto wa kuotea mbaali Daah! Kweli kitu na enzi na nyakati ni ukuta hapa unamkuta Skywalker
Fredwaa
Rebeca Mulesi
Juma Baragaza
Tonton Zuberi
Deokaji makomba
Steve moyo Mchungi
Tom chilala
Egbert mkoko
Rahabu Fredy
Mtoto wa Mama sabuni et al
Hivi ni nini kiliikuta RFA mpaka imekuwa hivi ilivyo leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom