Collabo gani ya Albert Mangwair ukiiskliza unasema humu Cowbama alifunikwa?

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
187
Wakuu kwema? Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa.

Hivi ni collabo gani ya Albert Mangwair ukiiskliza unasema humu Cowbama alifunikwa.

Iwe yake au ya kushirikishwa. Ebu tutaje kwa kila mtu na mtazamo wake.
 
Are you serious? Unataka kutuaminisha kwamba kwenye huu wimbo vesi za Nature na KR ni kali kuliko ya Ngwair?
yeah kwa mtazamo wangu
na yeye ndiye content yake imeendana na jina la wimbo, plus hakuandika ali freestyle studio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom