Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sikusudii mjadala wa 'Team' za washabiki. Kwa kawaida wanamuziki wote wakubwa duniani, huwa wanalo kundi fulani la kijamii ambalo huko hukubalika zaidi. Walalahoi na waduni kielimu-Uswahilini...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Huyu jamaa amewatoa wasanii kibao kuanzia akina alikiba, Queen Darleen, hata Nai Nai Ommy Dimpoz na ngoma kibao ambazo huenda hujui kuwa ni mkono wake maana alikuwa haweki signature kwenye nyimbo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
18 Reactions
124 Replies
14K Views
Domo jingi wakati alikimbia ngumi UK, ingekuwa bongo angesema amelogwa akaishia kusema sijui viatu mara gloves wamebadilisha. Mswahili ni mswahili tu.
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
-2 Reactions
33 Replies
3K Views
Star wa Bongo Flava, Harmonize amemchana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na kumwambia aache kumzungumzia vibaya wakati bado anahangaika kutaka warudiane.
11 Reactions
261 Replies
21K Views
Habari yenu wana JF, napenda kujua Producer Castro Ponela aliekuwa na kesi ya kumuua msanii Steve 2K, yuko wapi siku hizi? Jela, uraiani au wapi?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi! Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya...
16 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari? Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena. Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo; 1. Kiguu na...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond.. NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI. Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimekua nikifwatilia muziki zaid ya miaka 20 ila toka nianze kusikiliza nyimbo za huyu jamaa juice WRLD nikwamba nimekua addicted na nyimbo zake nina nyimbo zake zaid ya 1000...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Madai Mapya ya Unyanyasaji wa 'Dancers' yaibuliwa dhidi ya Mwanamuziki Lizzo, (Melissa Viviane Jefferson) baada ya Watu 3 kufungua madai kama hayo Wiki iliyopita Mawakili wanaowakilisha Wacheza...
1 Reactions
2 Replies
533 Views
Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Lavalava ni msanii mkali ila alikuwa anapokea negative comment kwamba ana gundu, hasapotiwi na Wasafi ila tunaojua mziki tuliona sio kweli eti ana gundu au hasapotiwi kwasababu pamoja na hayo...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda...
12 Reactions
30 Replies
4K Views
Kupitia Instagram akaunti yale, Rapa Wakazi ameandika "Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema. " Kuigiza filamu za ngono ni...
17 Reactions
50 Replies
9K Views
Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam. Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom