Huyu dogo mpopo Ruger kutoka kwa wapopo huko Naija ni wamoto sana.
Nimekuwa mfuatiliaji wa mangoma ya wapopo kwa muda sasa wacha niseme huyu yanki ana toa mikwaju ya moto sana.
Toka kwa mkwaju...
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano...
Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au...
Sijui ni uchawa au kujitoa akili.
Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi
Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya...
Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
Kipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti.
Video yake kama basata...
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka...
Ndondi ni moja ya mchezo bora sana ila hatari katika orodha ya michezo duniani, ni mchezo ambao mabondia hutoka na fedha nyingi sana iwe amepigwa au ameshinda inategemea mkataba wake upo vipi, ila...
Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.
Hivi...
Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa...
Imeshakuwa desturi sasa, Diamond akitoa wimbo wowote ule lazima yaibuke malalamiko kutoka kwa wasanii wenzake kuwa amekopi vitu kadhaa kutoka kwenye wimbo/nyimbo zao.
Na wasanii hawa wanakuwa na...
Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'
Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km...
Habari wanajamvi,
Ni muda mrefu sasa sijamuona bwana mdogo Enock amepotea kwenye chombo chetu pendwa cha umma TBC.
Najua humu JF ni chimbo la habari naomba alipo kijana huyu machachari kwenye...
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.
Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula...
NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na...
Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara huyo ameliambia Jarida la #RollingStone kuwa nyota huyo ameanza kufungasha vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni kwasababu hana tena mpango wa...
Awali ya yote ngoja nicheke kihutu kwanza "Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii".
Kwa muda mrefu msanii Kheri Sameer (Mr Blue) amekuwa yupo kwenye bifu zito na Diamond Platnumz Simbaaaaaaaa mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.