Diamond amenza kufulia kimuziki.
Anatengeneza kiki za kijinga.
Jana ameibiwa Kofia Lengo ili atrend mtandaoni.
Bado anachakujifunza kutoka kwa wakina Davido ,Rema
Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya...
Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda...
P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya...
SANAMU YA LWAMBO YAZINDULIWA JIJINI KINSHASA
Miaka 26 baada ya kifo chake mwanamuzi nguli wa Kongo Franco Luambo Makiadi, sanamu yake imezinduliwa usiku wa kuamkia leo jijini Kinshasa kwa...
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Hivi karibuni pamekuapo...
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke ambaye mwezi April 2023 alitangaza rasmi kuacha kazi kwenye Shirika la Utangazaji la BBC, ameamua kurejea nyumbani Nchini Tanzania baada ya kuishi Uingereza kwa...
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.
Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si...
Naappreciate sana juhudi za Diamond katika kuunyanyua muziki wa Tanzania kwa kuibua vipaji vipya kama Harmonize, Raymond na watakaofuata kama wapo.
Ni dhahiri kuwa kwa hili la kusimamia vijana...
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati...
MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni kuwatumia wanaume (udangaji) ndiko kunamweka zaidi mjini...
Wimbo wa Mugambo wanaruka na kukanyagana wa mwanamuziki machachari Juma Kassim Kiroboto Ali a.k.a Sir Nature ummemtoa kimasomaso baada ya kufanikiwa kitwaa tuzo ya wimbo bora wa afrika Mashariki...
Huyu alikuwa anatangaza na Millad Ayo kule Clouds radio kipindi cha amplifier kwani alihama? Nashangaa namuona huku Star search yupo na kina Salama Jabir.
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.
1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia...
Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake...
Bwana Yesu Asifiwe jamani nampendaga sana Mtumishi wa Mungu Christopher Mwakasege kwanza hana Scandals ,Pili anampenda Mungu kikweli kweli tatu hana mafundisho ya uongo nne hajawahi kuchuja tangu...
Mwenye kujua marital status yake anieleze kaolewa ama pia kama kuna yeyote ana namba yake nombeni wadau am serious about this .
Au akipitia huu uzi anitafute kwa hii no
0628926348
Huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana, nadhani wale wasikilizaji wa xxl ya clouds fm watakuwa wanajua. Sasa nikasema ngoja nimtafute insta nimuone alivyo, nikasema mbona haendani na sauti nzuri...