M
MegaPyne
Guest

Wimbo wa Mugambo wanaruka na kukanyagana wa mwanamuziki machachari Juma Kassim Kiroboto Ali a.k.a Sir Nature ummemtoa kimasomaso baada ya kufanikiwa kitwaa tuzo ya wimbo bora wa afrika Mashariki katika tuzo zilizotolewa na Channel O hivi karibuni nchini Afrika Kusini. Nature ambaye alikuwa mwanzilishi wa kundi la TMK Wanaume Family na baadae kijinasua katika kundi hilo na kuanzisha la TMK Wanaume Halisi amerejea jijini Dar es Salaam Okotoba 12 2007 akiwa na tuzo hiyo na kupokelewa na maelfu ya mashabiki wake.
Wanaume Halisi hivi sasa wanatamba nanyimbo zao kama Ndege tunduni na Mwaka wa shetani ambao ni jibu kwa TMK wanaume Family.
Nature ametamba huo ni mwanzo.
Best African Sourthen
Dama Do Bling - Danca Do Remexe
Country: Mozambique
Best African West
De Indispensensables - I Love U
Country: Nigeria
Best African East
Juma Nature - Mugambo
Country: Tanzania
More info: http://www.mnet.co.za/ChannelO/shows/displayShow.asp?id=98&Type=art&ArticleId=4705
[media]
Click the image above to watch the video.
MOD: Its a weekend news, can you please leave it here untill sunday evening?