Gigy Money : Kudanga Ndio Kunaniweka Mjini

Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
12,065
Likes
48,043
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
12,065 48,043 280
bahyg-wngtp-jpg.625434MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni kuwatumia wanaume (udangaji) ndiko kunamweka zaidi mjini.

Akipiga stori na Showbiz- Xtra, Gigy amesema, moja ya vitu ambavyo vinavutia watu wengi ni uzuri wa jina lake na ambalo limekaa kipesapesa ingawa yeye maisha yake kwa sasa hayafanani na maana ya jina hilo.

“Jina langu tamu sana, maana yake hata namna linavyo-sound ni jina moja zuri ambalo lipo kipesapesa, ajabu pamoja na uzuri wa jina hilo maisha yangu mimi hayafanani na jina hilo, naishi kwa kudanga na maadili ya hapa na pale,” alisema Gigy Money.
 
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
1,782
Likes
2,049
Points
280
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2013
1,782 2,049 280
Saaafi, hana cha kupoteza huyu Papuchi ni yake muache agawe mara nyingi anavyoweza as long as inampa ugali wake wa kila siku, alishajijua kichwani ni zero....GIGIPAPA
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,523
Likes
16,668
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,523 16,668 280
View attachment 625434

MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni kuwatumia wanaume (udangaji) ndiko kunamweka zaidi mjini.

Akipiga stori na Showbiz- Xtra, Gigy amesema, moja ya vitu ambavyo vinavutia watu wengi ni uzuri wa jina lake na ambalo limekaa kipesapesa ingawa yeye maisha yake kwa sasa hayafanani na maana ya jina hilo.

“Jina langu tamu sana, maana yake hata namna linavyo-sound ni jina moja zuri ambalo lipo kipesapesa, ajabu pamoja na uzuri wa jina hilo maisha yangu mimi hayafanani na jina hilo, naishi kwa kudanga na maadili ya hapa na pale,” alisema Gigy Money.
Kuwatumia wanaume, mmmmmh!
Okei!
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,134
Likes
16,725
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,134 16,725 280
Nipeni namba yake, kuna 70k imekaa nyuzi 45 hapa!
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
12,065
Likes
48,043
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
12,065 48,043 280
Giggy Money ana ' Mbunye ' nzuri sana kama inavyoonekana hapo pichani na jinsi ' ilivyojikusanya ' kama Wingu la Mvua za Mafuriko za Dar es Salaam.
:D:D:D:eek:
 
Forum statistics

Threads 1,215,423
Members 463,197
Posts 28,547,693