Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
 
Back
Top Bottom