Habari nikuwa muda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii fulani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi...
God bless.
Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu.
Huyu ndio Chidy tulie mjua.
Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya...
Jamani kwema?
Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?
Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha...
Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya...
Kwa mujibu wa @MusicbaseAfrica hawa ndo wasanii 10 waliofanya vizuri zaidi Barani Afrika Mwaka uliopita 2023 na hii ni kutokana na kazi walizo achia mwaka uliopita,Namna ngoma zao zilivyofanya...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas.
Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi...
Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi"
Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank)...
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo.
Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k.
Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali...
Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati...
Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema.
“Ngema alifariki katika ajali...
Anaumwa mguu amekuwa mlemavu na Sasa anatembea Kwa uhuru baada ya maombi .
Angela yuko poa na soonest ataibuka na songi mpya
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe...
Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake.
---
Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza...
Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua...
Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy.
Watoto wadogo waliniponda lakini watu...
Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150.
Mbali na hayo pia amepewa nyumba nzuri ya kuishi Mbezi Beach ni mara tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.