mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
Nash Yule anaejifanyaga anajua Kiswahili?Huyu jamaa kapotelea wapi, alilisimamisha sana kundi la Vatoloco soldiers kule Arusha, kwa sasa yuko kimya sana, nakubali sana harakati zake ni mjamaa asiekwepesha ukizingua kama Maalim Nash tu,
yuko wapi Fido Vato....
Ndio iyoo sema mungu nae aanamakusudi yake... Sema lifestyles za arusha si zambele mjombasema yule mwamba angezaliwaga hata mbele huko aisee