Wasanii waliofanya vizuri Africa mwaka 2023

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
Kwa mujibu wa @MusicbaseAfrica hawa ndo wasanii 10 waliofanya vizuri zaidi Barani Afrika Mwaka uliopita 2023 na hii ni kutokana na kazi walizo achia mwaka uliopita,Namna ngoma zao zilivyofanya vizuri kwenye Charts mbalimbali za muziki na Namna wasanii hao walivyo fanya vizuri kwenye nchi zao.

1. Burna Boy (Nigeria )
2. Davido (Nigeria )
3. Asake (Nigeria )
4. Fally Ipupa (DR Congo )
5. Rema (Nigeria )
6. Omah Lay (Nigeria )
7. Libianca (Cameroon )
8. Shatta Wale (Ghana )
9. Diamond Platnumz (Tanzania )
10. Tyla (South Africa )

...wamakonde ...habari za single again...msiulize ....hayupo kwenye list
1704300746886.jpg
 
Kwa mujibu wa @MusicbaseAfrica hawa ndo wasanii 10 waliofanya vizuri zaidi Barani Afrika Mwaka uliopita 2023 na hii ni kutokana na kazi walizo achia mwaka uliopita,Namna ngoma zao zilivyofanya vizuri kwenye Charts mbalimbali za muziki na Namna wasanii hao walivyo fanya vizuri kwenye nchi zao.

1. Burna Boy (Nigeria )
2. Davido (Nigeria )
3. Asake (Nigeria )
4. Fally Ipupa (DR Congo )
5. Rema (Nigeria )
6. Omah Lay (Nigeria )
7. Libianca (Cameroon )
8. Shatta Wale (Ghana )
9. Diamond Platnumz (Tanzania )
10. Tyla (South Africa )

...wamakonde ...habari za single again...msiulize ....hayupo kwenye listView attachment 2861158
Mmakonde koho koho imekuwaje
 
Sema Mond Ni Jabali katikati ya mto
 
These Nigerian guys are somewhat special creatures when it comes to pure talents be it in Music industry, Film or Football.

They simply lead Africa in the world of entertainment.

Wetin na be the reason behind?

If na be you know the reason una keep quite oga,

no wahala please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kutaja jina Miso Misondo uzi ni batili
 
These Nigerian guys are somewhat special creatures when it comes to pure talents be it in Music industry, Film or Football.

They simply lead Africa in the world of entertainment.

Wetin na be the reason behind?

If na be you know the reason una keep quite oga,

no wahala please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
They're not so special....than others....but they're real Hustler ( opportunistic)
 
Back
Top Bottom