Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa.
Clouds media vs Kalapina
Clouds media vs...
Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama...
Dada Yondo,aliyezaliwa Denise Kusala Yondo mnamo Aprili 23,1958, huko Bukavu, Zaire (sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo), ni mwanamuziki mashuhuri wa Kongo anayejulikana kwa mchango wake katika...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.
Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.
Humo ndani j...
Tasnia ya muziki wa bongo fleva, hususan muziki wa Rap wa zamani kutoka kwenye viunga vya wilaya ya Temeke, imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Rap la LWP (Majitu)...
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi...
Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako...
28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini.
Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu...
Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star...
Kelele ni nyingi uko Twitter utasema Majizo kaokota dodo chini ya mwembe. Naufananisha usajili wa Madenge kama usajili wa Mbwana Samatta pale Aston Villa. Usajili mbovu halafu mbovu tena...
Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni...
Wakuu,
Anaitwa Latricia Ian, jana ndo kachaguliwa kuwa ni Miss World Tanzania
Mna uhakika huyu ndo anaenda kutuwakilisha Watanzania huko Miss World?
Kamati ya Miss World wametumia vigezo kumpa...