Uchafu unaofanywa na wasanii wetu wa bongo wawapo location.. See images!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
Hizi ni shots ambazo ziko kwenye movie ambayo inategemea kutoka muda si mrefu!

wasanii bado wako location, lakini, wewe kama mdau wa sanaa, una maoni gani kuhusu hizi shot chache zilizopigwa hapa?Hizo ni baadhi tu ya shots chache kutoka location! sasa swali la msingi hapa ni kwamba, je kuna haja ya serikali kuendelea kuwazuia hawa wasanii wetu? mbona kila kitu wanakifahamu lakini bado wanafanya yale yale wadau?
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
Una biffu nae nini?sio bure wewe ulikaa location gani wakati una take photo?
 

kanabali

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
495
250
Hii ni kawaida kwa watu wanaofanya vitu "unprofessionally"
Lakini ndo wameamua hivyo...na ni maisha yao.
 

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,105
2,000
Ghana na Nigeria movie wanafanya mapenzi waziwazi,kuwa naked zaidi sana ya bongo movies na wamefika mbali kimaendeleleo katika film.Tanzania tuna mengi ya kuzingatia na kufanya kuanzia utunzi, uandaaji,kulinda hali za wasanii na kujitangaza sana nje hapo tutafika mbali.
 

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
375
500
Movie zina reflect maisha halisi ya jamii husika. Mtu akiwa beach na mpenzi wake romance ni kitu cha kawaida na hayo ndo mavazi ya beach, ulitaka wavae majaketi au? Cha msingi itokee kwny cover ya movie kwamba mtazamaji awe 18 years and above
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom