Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa


Gabriel Junior

Gabriel Junior

Member
Joined
May 7, 2019
Messages
10
Points
45
Gabriel Junior

Gabriel Junior

Member
Joined May 7, 2019
10 45
WASANII HAWA WALIVUMA LAKINI WAKASHINDWA KUTENGENEZA PESA:

1. 20% ; jamaa alifanikiwa kuchukua tuzo kama 5 hivi huku akiwa na mashairi makali na kufanikiwa kukubalika na mashabiki bongo lakn cha ajabu mavuno yake kweny MZIKI hayajaendana na umaarufu aliouvuna!

2. DUDUBAYA; a.k.a konkii Mkongwe huyu kitambo alivuma akiwa anamiliki kundi lake LA dar skendo lakin Leo hii ameishia kutafuta kiki instagram na kuzidiwa mpk na mtoto aliyekuw anamtuma dukan dogo hamidu a.k.a nyandu tozzy

3. CHID BENZ ; Mkali toka ilala wakat alivuma na mpk kujiita king of dar es salaam lakn ajabu mafanikio aliyoyapata aliishia kweny starehe na tamati kupotea kabisa kwenye mziki

4. LORD IZZY ; kiongozi toka kundi maarufu toka arusha nako 2 nako alipata kuvuma sana mpk kufanikiwa kutoka na mrembo ray c lakn starehe ujanja mwingi ulimpoteza na kujikuta amechezea bahati ambayo alitakiwa kuwa kimafanikio xawa na wenzake weus kma joh makini au g nako

5. DAZ BABA NA FEROUZ ;
Vijana hatari xna kutoka bongo records kutokea kwenye MZIKI wa bongo fleva lakin ajabu hawa jamaa starehe, ujana uliwapotez hku mziki ukiwa umewalipa Bali wao walichezea bahati hku ikibak historia tu kwao bila mafanikio ya maana kuvuna!!

Ni mtazamo tu
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,642
Points
2,000
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,642 2,000
Huyo ni wa kike sio mbaya sana, nadhani kwa sasa yuko kwenye government quarters!
Anamaanisha kabla hajawa DC alikuwa anaishi kwao ...na hata leo akiacha UDC anarudi kwao obay.......
 

Forum statistics

Threads 1,295,408
Members 498,303
Posts 31,211,193
Top