HABARI YA MOTO MOTO NI KWAMBA KUNA KAMPUNI MOJA YA SIMU KUPITIA WAFANYAKAZI WAKE WASIO WAAMINIFU WANAJARIBU KU HACK SIMU YA SUGU
HAYO YAMETOLEWA NA SUGU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WAKE WA...
kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kushuhudia uzinduzi wa anti virus leo itaruka hewan katika kipindi cha planet bongo cha eatv, ukweli utajulikana na tutajadiri maswala mengi ya msing tu...
tunaomba wale mliopo karibu na eneo la tukio au ndugu hakimu via mobile utu-update hukumu imekuaje...........tupo interested kujua clasmet wetu ambaye bado hata honeymoon hajaila vizuri...
Prodyuza wa muziki,ambaye pia ndio C.E.O wa studio za B-Hitz,Hermy B achukizwa na Joh Makini,atoa tamko lake kwenye ukurasa wake wa SuraKitabu(Facebook)..
"Joh Makini You Have Officially Pissed...
Mama Salma Kikwete shared a link.Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam
www.jamiiforums.com
wakuu nimepita wenye page ya facebook ya mama Salma naona ameshare link...
Jaman naomba kuuliza ni nani asiyemtambua Dr. Slaa. Mzee huyu namkubali kwa msimamo wake na kwa kutotafuna maneno, Kuanzia kwenye kampeni mpaka hivi leo bado msimamo wake uko pale pale. Kama...
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc..
Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-)
Here is...
Wadau na mashabiki wote wa muziki bongo muziki unalipa tukutane viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii bamaga k'nyama tar 26/11/2011 kuanzia saa 12 kiingilio sh 5000 wasanii kibao sugu mkoloni...
Ndugu zangu, naandika mada hii kwa huzuni na haibu kibao kutokana na kile nilichokiona Dar Es Salaam mwezi uliopita wakati nikiwa likizo. Huzuni na haibu niliyopata Dar ni juu ya madada zetu na...
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music.
Vinega walipiga show kali...
Clouds wamewatapeli mashabiki kwa kuwalipisha sh 10000 kwa ajili ya kushuhudia shoo ya DMX na fabulous na kuwahadaa wasanii wa kitanzania kuwa watapanda jukwaa moja na manguli wa muziki kutoka...
Ndugu zetu wa ze komedy naona wamekuwa wanafanya matangazo au kampeni dhidi ya wanaowatuma, nashindwa kuelewa hii PIGA CHINI inayoonyeshwa mara ya 3 umuhimu wake kwa jamii ni nini? kwanza...
Fiesta Mbeya tuliwapa supplementary sasa naona wanataka kuja kujaribu kuichomoa bt hawajausoma mchoro bora wasingeingia kwenye exam room coz hawachomoki hata waingie na madesa so 26th wanadisco...
Kama mdau wa muziki kwa muda sasa nafuatilia bifu la Ruge V/s Sugu na wasanii wenye uchungu na kazi zao.
Huyu Ruge sio mzaha jamaa anawanyonya sana wasanii ana anachukua ujinga na elimu yao finyu...
Jana nilikaa na msanii ambae alikua anampa siri kwamba eti mh! Lukuvi amepanga kumtosa mh. Sugu kwenye tamasha la kesho kutwa ili amkomoe! Anasema amepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kua...
Uganda's Richest Musicians
Artistes who include top star Bebe Cool have been struggling financially. Red Banton was offered Red a stick of roasted meat and it turned out to be his first...