Mbowe, Mnyika na Kiwia waibuka kwenye Aunti Virus

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music.

Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.

Na mwishoni wakati sugu akiimba mbunge wa ubungo John Mnyika na Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia walijumuika jukwaani kucheza na kumpa sapoti Sugu, mh Mbowe mbunge wa hai naye alihudhuria na kuomba vyombo vya usalama viongeze mda kidogo sugu na vinega waendelee kutoa mistari toka saa 6 mpk saa 7 show ilopoishia kitu ambacho wapenzi wa music walifurahia sana.

Kwa kifupi sugu na vinega wamefanikiwa coz raia waliitikia wito na kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti wazawa!
 
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music, Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hafi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.

Na mwishoni wakati sugu akiimba mbunge wa ubungo John Mnyika na Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia walijumuika jukwaani kucheza na kumpa sapoti Sugu, mh Mbowe mbunge wa hai naye alihudhuria na kuomba vyombo vya usalama viongeze mda kidogo sugu na vinega waendelee kutoa mistari toka saa 6 mpk saa 7 show ilopoishia kitu ambacho wapenzi wa music walifurahia sana.

Kwa kifupi sugu na vinega wamefanikiwa coz raia waliitikia wito na kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti wazawa!

Safi saaaaaaaaaanaaa... Na bado mwaka huu ruge atarudi kagera, akalime ndizi na kuvuna mapera... Lazima apoteze ubikira maana mumewe anayo dhamira hata akibana vp??? Vp updates za upande wa piliiii???? Kati ya leaders na ustawi, wapi palijaa zaidi???????
 
kuna misanii mingne kama ming'ombe au mikondoo waliitwa na sugu kwenye kumpa sapoti ya kudelete virus, kwa woga wao na uelewa mdogo pamoja na elimu ndogo wakakubli kutoa utu wao na kwenda kwa ruge kujiunga na vile vitoto vya THT,aibu yao yan unanyonywa tangu ukiwa underground ukiwa na uelewa mdogo mpaka unakuwa mtu mzima bado unaogopa kusimama na kukemea unyöyaji shame on you..jmoo,sele,kalapina,na wengneo wasiojua haki zao
 
Umemsahau mwanajamii mwenzetu hapa Regia Mtema na Kilewo wa Kinondoni nao walikuwepo pia.
Uzinduzi ulifana sana, na nampongeza Sugu kwa kuufanikisha, pili kuonyesha kwamba bado yumo.
Kwani aliimba karibia nyimbo tano mfululizo vizuri tu na tena peke yake bila kukaukiwa na sauti, kusahau mistari wala kuishiwa pumzi kitu ambacho nadhani anawashinda wasanii wote wa bongo.
 
Sugu ni mkali, we tazama ile nyomi ya raia, halafu show ilifanywa bila udhamini wa kampuni lolote na bado ikabamba, jiulize kama akipata sponsor si itakuwa balaa,
Sugu amesema next ni mbeya then arusha, mwanza, dodoma , morogoro!
Waliokuwa wanasema hip hop ni uhuni jana wameumbuka, kwani mpaka tunaelekea maisha club kwenye after party hapakutokea vurugu yoyote ile wala mtu kuumizwa kitu kinachoashiria watu wa hip haop ni waelewa, Sister P na Zay B nao walisababisha mbaya, da ama kweli hawa kina dada ndio haswa wenye muisc wao!

Home work, walisema wanamleta DMX na Fabilous sasa wasaliti masnitch waliiwaita wakafanye nn? Wakati ustawi kilibamba bila hata ya msanii kutoka ng'ambo..m

Wafu fm jana ndio tumewazika rasmi, haiwezekani mtangazaji anayelipwa laki 3 awe na mafanikio na maisha mazuri kuliko soggy, rama d, danny msimamo na wengineo..
 
Lazma wampe sapoti muhuni mwenzao.
Muhuni bibi yako na ndugu zako wooote...hapo na wewe utakuwa umezaliwa kihuni na utakao wazaa wote watakuwa wahuni kwahiyo uzao wako ni wakihuni pia,Watch your ass before saying somebody's ass is ....!!You can mention there..
 
kuna misanii mingne kama ming'ombe au mikondoo waliitwa na sugu kwenye kumpa sapoti ya kudelete virus, kwa woga wao na uelewa mdogo pamoja na elimu ndogo wakakubli kutoa utu wao na kwenda kwa ruge kujiunga na vile vitoto vya THT,aibu yao yan unanyonywa tangu ukiwa underground ukiwa na uelewa mdogo mpaka unakuwa mtu mzima bado unaogopa kusimama na kukemea unyöyaji shame on you..jmoo,sele,kalapina,na wengneo wasiojua haki zao

Pina si ni yule jamaa anayeimba kwa kukoroma anayejiita mwanaharakati?? Alikuwa Leaderz kumuunga mkono Rugemalila??? Sasa kuunga mkono unyonyaji ndiyo harakati?? Sele naye soro tu.
 
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music.

Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.

Na mwishoni wakati sugu akiimba mbunge wa ubungo John Mnyika na Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia walijumuika jukwaani kucheza na kumpa sapoti Sugu, mh Mbowe mbunge wa hai naye alihudhuria na kuomba vyombo vya usalama viongeze mda kidogo sugu na vinega waendelee kutoa mistari toka saa 6 mpk saa 7 show ilopoishia kitu ambacho wapenzi wa music walifurahia sana.

Kwa kifupi sugu na vinega wamefanikiwa coz raia waliitikia wito na kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti wazawa!

Je, Alshabab walishambulia mkusanyiko huo au ilikuwa vipi??
 
Safiiiii...uzalendo wa ukweli kwa wote walifika kiwanjano hapo na kuwapa sapoti vinega
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom