I-NGOSHA
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 496
- 182
Clouds wamewatapeli mashabiki kwa kuwalipisha sh 10000 kwa ajili ya kushuhudia shoo ya DMX na fabulous na kuwahadaa wasanii wa kitanzania kuwa watapanda jukwaa moja na manguli wa muziki kutoka marekani. Hivi haiwezekani hawa jamaa mashabiki wao wakawashitaki kwa utapeli walioufanya kwa ajili ya masilahi yao binafsi?