Uzinduzi antivirus mixtape 26/11/11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi antivirus mixtape 26/11/11

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kalila, Nov 9, 2011.

 1. K

  Kalila JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau na mashabiki wote wa muziki bongo muziki unalipa tukutane viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii bamaga k'nyama tar 26/11/2011 kuanzia saa 12 kiingilio sh 5000 wasanii kibao sugu mkoloni mapacha dan msimamo adili LWP mabaga fresh soggy doggy big doggy pouse mazese crew peenlawyer. Wakiongoza na dj JD ,majizo, BBG. big stage big sound kutoka ENTARTIMENT MASTERS hii si ya kukosa ANTIVIRUS WITH NO APOLOGY
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,135
  Likes Received: 2,312
  Trophy Points: 280
  Tumekupata sugu hii ndo ID yako JF?
   
 3. K

  Kalila JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sio sugu na wala sio msanii bt nasapport movement nachukizwa na ujinga wa clouds kujifanya wana haki miliki ya mziki bongo
   
 4. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kama kawaida tutahudhuria!!
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,389
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Du litakuwa bonge la show,sipati picha.
   
 6. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,934
  Likes Received: 692
  Trophy Points: 280
  chuga town lini watatia timu njooni tuenzi HIP HOP
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,282
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  Safi sana hii nimeiona kwa soggy kule facebook poa tupo pamoja!!Mkuu
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,807
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  Namkubali sana Sugu,sikujui kumbe hawa kina FA,FID Q,AFANDE,JOH MAKINI,N2N,KALIPINA NA WENZAKE e.t.c wote wanafiki tu.badala ya wai kuongeza nguvu kwa sugu wanajitenga....
  Dar es salaam,nairobi,mombasa
  bujumbura,kigali,kishansa
  ................
  sugu ni chama kubwa kama arsenal,
  bado nipo dimbani na mic ipo mkononi,
  labda huku niliko nifwateni,
  mana inaonekana nitachelewa kushuka chini,
  inashangaza kuona mda unavyokwenda,
  nacheza mchezo wa hip hop ndo kitu nachokipenda,
  cheki maplayer haters navyowapiga denda........
   
 9. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,016
  Likes Received: 4,282
  Trophy Points: 280
  Dah! Long time sijamuona mtu mzima DJ JD aki spin free style scratching huku aki swing kwa swaga za ki dj za ukweli! I will be there kuwasapoti lakini zaidi mifuto ya Dj JD! Ila matangazo bado sana biashara asubuhi!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,733
  Trophy Points: 280
  Bujibuji atatuma mwakilishi
   
 11. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Watakuja wapenda matusi...inaonesha hata hiphop hawaijui,tangu ln mixtape ikawa na uznduz?kama co sugu anataka kuwadhurumu wenzie!kwa nn vinega wote hawana elimu?kwa nin vinega wote wamepotea kwny game?kam wanabbniwa na clouds,kwa nin nymbo zao hazpgw redio nyngne?niambie n nymb gan katka hyo mixtape inafaa kupgwa kwny teleshen ya taifa?niambie n nymbo gan ktk hyo mixtape inaweza kupendwa na watu makn kama zito au prof.shivji?...tar26 naenda kumchek m2 mzima DMX..Et Antivirus? Soggy dog =magamba..sugu = magamba..wu z virus sugu o soggy?
   
 12. K

  Kalila JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ww tu na roho yako kamwambie rugay kuwa hawezi kushindana na sugu hata kama anatumia ikulu na sasa wanaenda kumwaga sumu vyuoni ili wasusie upuuzi wa wafu fm nyie mnaona raha sana wasanii wakiwa empty waje kuwapiga vizinga hata nigeria walisusia shoo ya 50 cent na ndo chanzo cha wasanii kulipwa vizuri sisi je kwanza DMX hilo mmepigwa changa kwenye ratiba yake ya shows hajaiweka tz labda mkamfufue michael jackson
   
 13. K

  Kalila JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wote ni kama misukule hawajielewi wanasubiri kuvalishwa tshirt za zinduka dili alilofight sugu. Ila ipo siku watamkubali tu sanaa ni biashara wao wanajua kupata mademu tu
   
 14. K

  Kalila JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo matusi ndo yanamfanya rugay akose usingizi karibu bamaga kwenye mating'a ya ukweli
   
 15. K

  Kalila JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Noma big stage aliyoperfom tpain gyptian na mims hakuna mfano nchini na kwa majirani sio wasanii wa nje ndo waimbe kwenye jukwaa zuri hata local wanaweza
   
 16. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa maandsh yako tu nshakujua wewe n nan?tuache hayo..kwan cfa ya kuw kneg lzm uwe na matusi?Hv kat ya vineg.a nan anayejua hiphop?hkuna hta m1..Iv mbunge ana muda gan wa kupoteza na kukaa kuanza kuandka matus badala ya kutatua matatzo ya wananch yake?..kama mnabaniwa na cloudc nymbo zenu znapgwa na radio gan?kama mnanyonywa na soko la ndan..iv i sugu c alikuwa marekan?kwa nn hakutoka?au soko la marekan lmetekwa na ruge? Am Anti Anti-Virus...yoo
   
 17. K

  Kalila JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatumind nyimbo kutopigwa radioni kwanza chanzo chz wafu fm kutubania ni kwamba hatukutaka kuwalamba miguu i mean ndiyo mzee kwa kila jambo kwanza sugu hajafahamika kupiti clouds ni longtime sugu angeweza kukaa kimya tu ila lazma awatete wenzake coz ni aibu kwa taifa wasanii kuwa maskini huku wakina rugay wakifaidi jasho la msanii movement imefika pazuri matusi hata wamarekani wanatukana au kwa vile wao wanaimba kizungu. Radio one times nk wanapiga nyimbo za vinega
   
 18. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Acha uwongo wewee hakuna radio inayopga nymbo zenu..mnaimba matusi,sasa radio itapga nymb za matuc?..kwa kuwa wamarekan wanatukana na nyie ndo mana mntukana!khaa km nd hvyo uingerez n mash..oga na nyie kuwen ma.s..hoga bac..et unajcf kabsa ..khaa!yoo
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  vinegavinega mwaaaa mwiiiiiiiiiiiii
   
 20. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  inaoneka bado hujakua,mshamba na unapenda kushobokea mastaa!.......
   
Loading...