Hii PIGA CHINI YA ZE COMEDY NI KAMPENI AU NINI?

ndagu

Member
Nov 16, 2010
10
6
Ndugu zetu wa ze komedy naona wamekuwa wanafanya matangazo au kampeni dhidi ya wanaowatuma, nashindwa kuelewa hii PIGA CHINI inayoonyeshwa mara ya 3 umuhimu wake kwa jamii ni nini? kwanza haieleweki, pili inaonekana ni kama wamevuta pesa ili kufanya kampeni chafu kimtindo. Ndg zetu TULIWAAMINI LAKINI MNAANZA KUWA WAPIGA KAMPENI ZAIDI YA WACHEKESHAJI....
 
Hadi leo sielewi anayeongelewa, kinachonifanya nihisi ni kampeni zao sababu kisa chenyewe hakieleweki alafu hakichekeshi but wanarudia mara kwa mara, ninavyojua mimi ni kwamba kisa kizuri uwa ndo kinarudiwa na hasa kisa ambacho jamii wanakipenda sasa hatuelewi...
 
Hata mimi ckipend naona kinawacheka tu watu. Hakitofautiani na kile kipande cha aliyefulia. Jana walikuwa wanamcheka wambura kuwa kote kapigwa chini yaani simba na tff. Sioni umuhimu wa hiki kipande na wala sikipendi.
 
Mkuu, Mbona Kama unaongea wewe mwenyewe. Hatuja Jua ni picha gani unazungumzia na maelezo hayatoshi, ebu boresha basi na sisi tupate faida.
 
Hawa hawana tofauti na Vinega. Wapuuzi flani.

Mzee!Vinega wametoka wapi hapo?Attack hoja iliyopo mezani.Dhana na dhima halisi ya Vinega unaifahamu au unabisha tuu basi?Sometimes tuache unazi,tutetee the weak side tuache kutetea majitu yaliyoshiba mpaka yakavimbiwa on expense of the weak....umekaa kishobo -shobo sana,no matter what you do,clouds will never add value to your well being achilia mbali maendeleo ya wanyonge walio wengi.
 
No Comment.
 
khaaaa..mbonacmnachanana kweupe hivi wanakwetu
 
Hawa hawana tofauti na Vinega. Wapuuzi flani.

Yani ckutegemea hata humu kwenye great thhinkes we have pipo of da lowest IQ....Vinega aint compared to Commedy not in a million yearz!!twende ustawi leo uone hw real man do it!!
 
Mzee!Vinega wametoka wapi hapo?Attack hoja iliyopo mezani.Dhana na dhima halisi ya Vinega unaifahamu au unabisha tuu basi?Sometimes tuache unazi,tutetee the weak side tuache kutetea majitu yaliyoshiba mpaka yakavimbiwa on expense of the weak....umekaa kishobo -shobo sana,no matter what you do,clouds will never add value to your well being achilia mbali maendeleo ya wanyonge walio wengi.
Bro! Hii thread Mh cpt Kombo Mp akiiona je? Asije dai umemlenga? Akafungua Rb No.. Mkwaju, strock mkwaju Katukanwa nje ya mjengo!
 
Back
Top Bottom