Hermy B amchana Joh Makini...

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
Prodyuza wa muziki,ambaye pia ndio C.E.O wa studio za B-Hitz,Hermy B achukizwa na Joh Makini,atoa tamko lake kwenye ukurasa wake wa SuraKitabu(Facebook)..

"Joh Makini You Have Officially Pissed Of B'Hits,wimbo wa Bye Bye tulikupa bure baada ya kutujibu kwa dhiaka tulipodai malipo yetu,Hata kutupa Credit zetu kwenye video umeona kazi pia,ama kweli shukrani ya punda ni mateke,we mtu gani??kumbuka enzi za Magic Fm!!! "

B Hitz ndio waliopika hitsongs kadhaa za Joh Makini kama 'show za Joe' na 'blue magic'..

Source:blog ya truthwelltold
 
Aende mbele ya sheria. Facebook itasaidia nini??
 
kutakua na kitu kati yao nyuma ya pazia kilichosababisha joh makini asiacknowledge kazi iliofanywa na B hits
 
Nilishawai kuhudhuria show moja,Joh Makini alikuwa anatumbuiza..kuna kitu sikukielewa alipomaliza ile show alikuwa anaonyesha ishara flan ivi kama ile ya Jay Z,yani anakutanisha vidole na kutengeneza alama kama ya jicho(hova hova hova!),walioona show ya Jiga pale madson square nadhan wananisoma..naskia ile ishara ina maana flan kiimani.sasa sikumwelewa kabisa Joh makini.
 
Back
Top Bottom