Sugu vis lukuvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu vis lukuvi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amina Thomas, Nov 24, 2011.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jana nilikaa na msanii ambae alikua anampa siri kwamba eti mh! Lukuvi amepanga kumtosa mh. Sugu kwenye tamasha la kesho kutwa ili amkomoe! Anasema amepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kua lukuvi atamtia aibu sugu kwa kuomba udhuru katika dakika za mwisho ili amtie aibu. mwenye uhakika na hii hila naomba atujuze mapema.
   
 2. k

  kabindi JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  akichomoa dakika za mwisho atakuwa amejiabisha mwenyewe maana mtu mwenye akili timamu anajua maana ya muda pamoja na appointment! hivyo tutamuona mjinga maana anatakiwa atoe taarifa mapema juu ya kutofika kwake! ingawa huwa kuna dharula ambazo haziepukiki kama ugonjwa, kufiwa, maafa n.k na kila sababu inapimwa kwa uzito wake! ina maana Lukuvi ana anticipate hayo?! sidhani, nadhani unajaribu kutengeneza hisia zako!
   
 3. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hisia zangu kivipi? Mimi nimesikia ndo mana nasema ni tetesi ingawa ikitokea itaniuma sana. Ni kweli muheshimiwa atajidharaulisha yeye na si sugu!
   
 4. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  With Lukuvi anything is possible. The guy is slippery and malicious to the extreme!
   
 5. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Lukuvi kweni ana umuhimu gani? si bora angekuwa Dr wa ukweli?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama akipata udhuru atoe taarifa mapema ozawise hatutamuelewa
   
 7. k

  kabindi JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani sugu hukuwa na watu wengine wenye heshima zaidi ya LUKUVI?! kwa kumbukumbu zangu huyu Bwana Lukuvi ana Historia ya UFISADI WA ELIMU na sina kumbukumbu ya kukanusha kwake nikirejea kwenye taarifa ya Msema kweli Keinerugaba! Mr. Sugu, jijengee heshima tafuta wenye staha! watanzania tunazo kumbukumbu yakinifu. By the way huyu bwana lukuvi ni mpinga wapenda mabadiliko maana tunamshuhudia Bungeni!
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  JF raha tupu....mashushu wakumwaga...
   
 9. l

  laun Senior Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lukuvi ni nani mpaka Sugu aaibike,mara ngapi watu wametoa udhuru na hakuna kilichoharibika. Namheshimu kama kiongozi lakini Sio dj,sio msanii ,asipokuwepo si anapewa mtu mwingine ugeni wa heshima kwa niaba yake. His absence is insginificant with respect to the concert. Hakuna shabiki anayelipa hela kwenda kumuona Lukuvi.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Lukuvi?bora nikae zangu kona bar nilewe kuliko kuja huko kumbe mgeni rasmi ni lukuvi..aghjjj
   
 11. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jamani hyo show ya sugu ni wapi na lini?
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Lukuvi ni fisadi mwingine, aliiba hela za mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar!! Alitakiwa kuwa amefungwa segerea huyu mwizi!
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Uzinduzi unakuwaga na mgeni rasmi?
   
 14. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 560
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  lukuvi au nchimbi?
   
 15. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Kwani lukuvi nae ni msanii ? pili kwa tamasha hilo wa muhimu ni anaehusika na swala zima la uchakachuaji wa record na si waziri wa sera na bunge. hebu tuache uongo? sugu wa kwake Nchimbi tu
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Lukuvi hawazi kuhudhuria matamasha ya wahuni.
   
 17. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Lukuvi hajaalikwea katika uzinduzi wa leo, mgeni rasmi ni Mh. Emmanuel Nchimbi, waziri wa habari utamaduni na michezo!
   
 18. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata mie simuelewi huyu mtoa uzi kwani mgeni rasmi ni Nchimbi, sasa huyu lukuvi ni nani
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwani wasanii wetu wanawajua viongoz wao?ingawa wanawapigia kampeni,ila ukiwaambia wataje mawazir wa 5 na wizara zao,wanakimbia
   
 20. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nawasiwasi humfahamu lukuvi, katika mawaziri wahuni huyu nae yumo ndugu yangu, subili watu watakudadavulia issue zake uone
   
Loading...