Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Wakuu nyota yetu ya kikapu inahitaji maombezi.......tangu ajiunge na houston rockets kacheza mechi 4 tu kwa dakika 38 tu......statistics yake kiukweli hairidhishi.....anahitaji akaze buti kisawa sawa asiwe mchezaji wa mazoezini tu.....
nikiangalia hiii picha aliopiga na sande shomari baada ya game ya juzi na wizards....jamaa hana furaha kabisa...ule uso wake wabashasha hana tena...... huyu akizimika kimichezo wakuu na hatujaandaa mwingine itakuwa soo...