Peter Kinyanjui alias Mark Twist aliyehusishwa na kifo cha JM Kariuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Kinyanjui alias Mark Twist aliyehusishwa na kifo cha JM Kariuki

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KALABASH, Feb 5, 2012.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Leo nikiwa napitia chapisho lisemalo "the last days of JMKariuki" nimekutana na jina la Peter Kinyanjui alias Mark Twist. Kwa wale vijana wa zamani watakumbuka jinsi huyu Mark Twist alivyokuwa mashuhuri kwa namna fulani katika mitaa ya DSM miaka ya 80 na kuendelea. Kilichonifanya nimlete hapa jamvini ni jinsi Mark Twist alivyohusishwa na kifo cha JM Kariuki aliyekuwa mtu mashuhuri sana Kenya wakati huo. Huyu jamaa alipotelea wapi au kesha tangulia mbele ya haki?
   
 2. b

  baba koku JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hivi huyu si ndiye alikuwa hapa nchini na kuwa kiongozi nadhani wa FAT/TFF na baadae akagungulika kuwa sio raia wa TZ. Tukumbushane.
   
 3. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mmh!! Haya makubwa!
   
Loading...