Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by BASIASI, Jan 24, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Katika hali ya kushangaza
  mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
  kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana sana
  kila mara hata leo amepigiwa na wanawake zaidi ya sita wakimtaka...lakini anasema anaomba jamani
  ameacha ile michezo anaomba aheshimiwe uhuru wake n a hivi sasa ameamua kujiondoa kabisa
  facebook ...m nashangaa sana sana wanawake wa sikuhizi bana kila mtu anaangalia handsome
  hajui yukoje

  kazi kweli kweli
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Srce
  cloudssssssss fmmmmmmmmmmmmmmm
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kumbe dully ni handsome? wanawake mnamambo nyie!!!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  atupe definition ya handsome.
  Tusiwalaumu wanawake bure

   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hata kama humpendi mtu usimtukane...
   
 6. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  mi mbona sikujua kama ni handsome ama kweli we ukiona ana chongo,mwenzio anaona analembua leo ndo nimeamini wenye wake zenu sasa kazi ipo mie akaaaaaaaaa:eyebrows:
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Ila unafanana na Dully!
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pwenti.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Yaani kupanda chat bure bure. Boys can easily be separated from men!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wewe una lako...
  unaona mtu anatukanwa na wewe unanichomekea hapo hapo...
  nafanana nae sura au misifa au nini?lol
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  eti vyote
  mmh! Si mimi niyesema, usiniwuwe bure

   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Sura! LOL
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Kaunga na Kongosho
  mmenichoka kwa kweli...
  ngoja ni logg off kwanza...
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha,
  bora ufanane sura si misifa lol
  sio kweli, nawithdraw statement.

   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Mimi siwithidrowi! LOL
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona mtoa mada hajathibitisha upunga wake au alitaka kumzushia?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hata wewe wafanana na Gea habibu lol
   
 18. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mna kazi nyie washabiki wa bongo fleva.
   
 19. K

  KIFILI Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijana hebu mwenye picha yake huyo kijana aiweke hapa kwanza tuione!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha; ndio nani huyo? Aaah, sijawa bonge kihivyo duh!
   
Loading...