Msanii wa bongo flavor timbulo anacopy nyimbo za x-maleya wasanii wa camroon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii wa bongo flavor timbulo anacopy nyimbo za x-maleya wasanii wa camroon

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Feb 5, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ebu Sikiliza hizi nyimbo kwanza:

  Timbulo-Domo Langu Zito


  x-maleya--Yelele(Domo langu zito remix)


  Timbulo-Wa leo wa kesho


  x-maleya--Tchokolo(wa leo wa kesho remix)


  My Take:Wasanii umizeni kichwa mtakuja kuwa sued na hela hamna,hamkumbuki TID na Jamaa yule wa Nyota yako wa Comoro?

  Ukiangalia kwenye youtube x-maleya wali-upload wimbo Mwezi wa 4 2009 kipindi hicho dogo nadhani analima viazi gairo hata DSM hakujui.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  dah huyu mwalimu mwenzetu kumbe hamna kitu anapiga chabo nyimbo za watu shame
   
 3. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,869
  Likes Received: 6,319
  Trophy Points: 280
  Kumbe namm naweza kuwa msanii
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Looh jamaa feki kumbe
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  ni mwalimu??
   
 6. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  That's very disappointing aisee, yaani dogo kaweka maneno ya kiswahili tu basi, ni wizi kama TID alioufanya kipindi kile, shame on u mwalimu timbulo
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yani mkuu edson unaweza kabisa kwa style hii unatumia beat,melody yani anabadili lugha tu ngoja namie niingie youtube nitafute nyimbo za kukopy za wanigeria
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni mwalimu by professional na amefundisha kabisa,sema akaacha baada ya kugundua unaweza ukatoka kwa kucopy paste nyimbo za watu
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni zaidi ya feki amekopy nyimbo mbili kwa wasanii walewale,wkt wenzake wanakopy mara moja tu,nadhani baada ya kufanya vizuri domo langu zito akaona ngoja aibe wimbo mwingine,100% jamaa si msanii ni photocopy ya msanii
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kajiabisha sana,na usikute akiojiwa redion atakwambia yeye ajui ni idea yake tu sema zimefanana lakini 2times?? Kufanana idea nakubali kama vile Fa na jaymo(nataka demu na mimi na mabinti dam dam,melody tofauti na beat tofauti),sasa huyu mwalimu timbulo kila kitu kacopy
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  duh jamaa ni mwalimu??hapa sasa napata picha kwa nini taifa linapoteza dira..
  Ila ndio tabia za walimu kuvamia fani za watu siunamuona ata Roma anavyopigapiga makelele.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaa Teacher amegelezea
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,489
  Likes Received: 5,588
  Trophy Points: 280
  kamanda umemuumbua jamaa!! Au wewe producer wake mmedhulumiana mshiko?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu me si producer kabisa na hata sijui kucheza na fruit loop,ila hii issue kuna watu wameibua na mie nikaona nishee na JF
   
 15. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Halafu kuna mijinga hapa inayo sisitiza tuwaenzi wasanii uchwara wa bongo.
  huyu jamaa afungwe gerezani kwa wizi.
  sasa unakuta mwenzie katumia vyombo halisi halafu yeye kaiga kutumia beats zao za kitoto!
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Shingongo haijamfikia habari hii...
   
 17. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Taratibu jamani......
  Mwancheni dogo naye atusue. Maadamu remix zake zinabamba, sioni shida. Hata MwanaFA walisema anatafsiri nyimbo za Fedrostar, lakini tunaona hadi leo ni mkali. Hata T.I.D kwenye Nyota Yako tunajua ilikuwaje.

  Lakini mbona kucopy nyimbo hata mamtoni kupo, tumesahau mkasa wa Haiti, akina Jimmy Fox, Wyclif Jean, Lionel Richie na wenzake akina Celin Deon wameimba wimbo wao. Na ktk kundi kubwa lote ni Lionel Richie pekee aliyekuwa kwenye original version ya wimbo ule.

  Mbona tunawabania madogo, au tunataka waingie vichochoroni wakafanye ujasiriamali wa roba za mbao? Let's be serious. Mi dogo namkubali.
   
 18. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ili kwamba ajue amepata kampani? maana na yeye ni mtaalamu wa ku copy sinema za kinaijeria na kuzigeuza hadithi za vipeperushi vyake vinavyosomwa na mahausigeli
   
 19. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ushahidi Plz,Mx

  U
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tim kaadhirika....
   
Loading...