Mke mdogo wa mzee yusufu amepata ajali

GAM

Member
Jan 5, 2012
20
2
Nasikia mke mdogo wa gwiji la muziki wa taarabu kama siyo vidole juu nchini mzee yusufu amepata ajali alipokuwa akiendesha gari la mumewe kwa kugonga mwenda kwa miguu ambaye amevunjika mguu.inasemekana mke mdogo huyo wa mzee yusufu alikuwa ameutwika vibaya kama siku karibia kuzimika alipokuwa anaendesha mkoko huo.kama kuna mwana jf yeyote mwenye taarifa za kina atumwagie hapa jamvini.

Naomba kuwasilisha.
 
Huyu jamaa si chapa ilale? Mke mdogo yupi aliepata ajali? Maana huyu jamaa ana wake wadogo zaidi ya wa5 si shabaab huyu?
 
sijui hasa ni yupi maana wako wengi kama ukivyotanabaisha mkuu, lakini chanzo cha hii niuzi hakikusema ni nani kama ni yule mwenye rough surface or not nitaendelea kuwapasha nikipata habari zaidi.
 
Picha bas kama hutajali maanaaa ana nyumba ndogo chungumzima
unawezakuta nduguyo
ndo kaajalika
bhaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom