Lulu amsahau mwanaume wake wa kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lulu amsahau mwanaume wake wa kwanza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Nyundo Kavu, Feb 9, 2012.

 1. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  MAKUBWA! Pamoja na umri mdogo wa miaka 18, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameacha watu midomo wazi baada ya kusema kuwa amemsahau mwanaume wake wa kwanza aliyevunja naye amri ya sita katika vitabu vitakatifu, yaani uasherati.
  Lulu ambaye ametupia sokoni muvi yake mpya ya Foolish Age aliliambia The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda kuwa, mbali na kutokumkumbuka mwanaume huyo, hakumbuki pia alianza sanaa hiyo akiwa na umri gani.
  “Kusema kweli sikumbuki kabisa mwanaume wangu wa kwanza na usiniulize nilikuwa na miaka mingapi kwani sikumbuki chochote ‘coz’ ni siku nyingi sana na mambo yanabadilikika kila siku,” alisema Lulu akikinzana na maelezo yake aliyoyatoa hivi karibuni kuwa bado hajatolewa ‘usichana’ wake.
  Pamoja na staa huyo mkali wa muvi kutajiwa baadhi ya wanaume waliowahi kudaiwa kutoka naye, aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa hamkumbuki.

  Lulu amsahau mwanaume wake wa kwanza - Global Publishers
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  So...........
   
 3. m

  muleba Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kajinga tu kale katoto halafu ni kauni kanajifanya akamjui mwanaume wakati hata miguu imepindishwa na wanaume kwa sbb ya kuanza mambo hayo katika umri mdogo akawadanganye wajinga wenzie,
   
 4. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​nasikia hata mlango wa uani anagawa
   
 5. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe kanatoa huduma ya Zantel (Twanga kotekote)
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  1.Docta cheni
  2.Ally K 4 real
  3.Ray
  4.Mbunge kitambi
  5.Muarabu
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mbunge kitambi ndo nani tena? ama mkuu Komba?
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Napita tu... Kuna aliyeniaga kuwa yuko hapa,nadhani katoka...
   
 9. H

  Hackermanfesto Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Demu wa ushirika
   
 10. n

  ngony Senior Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kanapenda kujipendekeza kwa watu maarufu hasa wale wenye hela! mambo ya kuiga hayo, kuhusu kugawa na nyuma c wanaona fashion! kuna siku nlienda lamada hotel(kijiwe cha wasanii wengi, sijui ndo wanapojiuzia) nikamkuta reception, yani kamepumzika wakati kuna sehem kibao na nzuri za kupumzka mule lamada. hapo reception kuna masofa km ukiwa mmefka kwa mara y kwnza mnasubiri huduma ndo mnakaa hapo! lakini ye hakua mgeni alikua amevaa labda niseme kiboxer na kitop kajianika mapokez kwa hyo kila mgeni atakaekuja lazima amuone. nlikaa hotelin km cku 3 ndo cku zote unamkuta hapo!
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  huo anakumbuka,lakini ule rasmi hakumbuki.
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni utoto akikua atawacha...
   
Loading...