yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

    โšฝ๏ธ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji 05.02.2024 ๐ŸŸ Azam Complex ๐Ÿ•– 1:00 Usiku. Mpira umeanza Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 9 Yanga SC wanapata Kona ya kwanza Dakika ya 15 Bado ni 0-0 Dakika ya 20 Yanga SC wanakosa goli la wazi Dakika ya 25 Pacome anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 27 Mchezaji wa...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

    Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali. Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
  3. ngwayamani

    Sababu zinazo wafanya simba kuingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa kuwa rahisi kuliko yanga

    Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
  4. Vincenzo Jr

    FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

    โšฝ๏ธ Kagera Sugar Vs Young Africans SC ๐Ÿ“† 02.02.2024 ๐ŸŸ Kaitaba ๐Ÿ•– 10:00 Jioni Mungu ibariki Yanga SC Kikosi cha Yanga SC Dakika ya 1 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 17 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 31 Kagera Sugar 0-0 Yanga. ๐‡๐€๐‹๐… ๐“๐ˆ๐Œ๐„โฑ๏ธ| #NBCPremierLeague Kagera Sugar 0-0 Young...
  5. C

    Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  6. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
  7. kiwatengu

    FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #mapinduzicup โšฝ๏ธ Young Africans SC Vs KVZ FC ๐Ÿ“† 04.01.2024 ๐ŸŸ Amaan, Zanzibar ๐Ÿ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  8. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  9. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  10. M

    UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  11. Expensive life

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  12. Expensive life

    Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  13. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela โ€˜Skuduโ€™ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
  14. Da Gladiator

    Yanga SC na Michuano ya CAFCL

    Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. ๐Ÿ™Œ Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu ๐Ÿ™ŒYanga...
  15. Suley2019

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejรฌ"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  17. Vincenzo Jr

    FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  18. Vincenzo Jr

    Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    ๐”๐™๐ˆ bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayariโ€ฆ.. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  19. Vincenzo Jr

    FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

    Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5? Kikosi cha Yanga Mchezo umeanza
  20. S

    Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sundayโ€™s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
Back
Top Bottom