chamazi

Chamazi is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 79,705 people in the ward, from 63,650 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. uhurumoja

    Kwa hizi mvua mechi zote zilizobaki zichezwe Chamazi au Mkapa

    Jana tumeona mechi ya Yanga na JKT ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji, kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka JKT walitaka wachezaji wa Yanga waumie). Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na...
  2. PureView zeiss

    AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  3. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

    ⚽️ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji 05.02.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku. Mpira umeanza Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 9 Yanga SC wanapata Kona ya kwanza Dakika ya 15 Bado ni 0-0 Dakika ya 20 Yanga SC wanakosa goli la wazi Dakika ya 25 Pacome anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 27 Mchezaji wa...
  4. GENTAMYCINE

    Yaani uchangiwe na Maadui wa Kaunda, Chamazi, Kiomboi na Mlaji wa Ndege Mwenyewe halafu Unyanyue Kwapa Kisiwani?

    Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni ambaye hakika alishindwa Kufurukuta leo Ziarani Unguja na kuwa Mkali kama ilivyo Asili yake.
  5. Majok majok

    Simba mnaukataa uwanja wa chamazi mtakwenda wapi? Uhuru umefungwa ngoja tuone mtakimbilia wapi!

    Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa mtakimbilia wapi? Mtaenda Zanzibar au mikoani? Mwisho wa siku akuna ujanja mtachezea CHAMAZI mtake msitake...
  6. GENTAMYCINE

    Yanga SC mnatoa Saa ngapi Silaha zenu Chamazi ili nasi Simba SC tuweke zetu ili Power Dynamos FC akione cha Mtema Kuni

    au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
  7. GENTAMYCINE

    Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

    Leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
  8. K

    FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

    Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani. Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS. Mpira unaendelea..
  9. Beberu

    FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  10. O

    Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze. --- Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho kutoka TFF kuwa wachezaji nane [8] tu wa Kitayosce ndio wanastahili kucheza mechi ya Ligi. Kikanuni...
  11. Andre-Pierre

    UZUSHI Yanga kucheza na As Vita Chamazi Complex, Agosti 6, 2023 siku ya Simba Day

    Yanga nao wamekuja na mechi dhidi ya As Vita siku ya Simba day jumapili hii. Wanasema ukimwaga ugali wao wanamwaga mboga
  12. gozy busness

    Viwanja bora vya makazi Chamazi Mbande bei kuanzia laki 8 kulipa kwa awamu

    🏕 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE _________________________________ 💥Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) . SIFA ZA VIWANJA VYA CHAMAZI MB 🔍 Viwanja vipo tambalale 🔍 Viwanja vimepimwa 🔍 Unaweza kulipia kidogo kidogo...
  13. gozy busness

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chamazi

    🌳 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE _________________________________ #Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) . 🌳 Mladi wenye uduma zote muhimu na rafik kwa jamii . WASILIANA NA WAUSIKA KWA NAMBA ZIFUATAZO 0689357572}...
  14. NALIA NGWENA

    Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

    Kutoka Yanga official page Amekwenda Azam Sc. ----- Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC. Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
  15. M

    Mbagala Chamazi kuna nyomi la watu, kumekuwa na fursa nyingi za biashara

    Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu: Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa kuanza biashara Mbagala fursa ndo hiyo… Tafuta sehemu ambazo mji umekuwa
  16. Mbute na chai

    Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  17. BARD AI

    Mabasi ya Mwendokasi kufika hadi Chamazi

    Wakati mkandarasi mradi awamu ya tatu ya mabasi yaendayo haraka ’mwendokasi’ barabara ya Gongo la Mboto akiwa tayari ameanza kazi, miundombinu ya mradi huo inatarajiwa kufika hadi Chamazi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 15,2022 jijini humo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo...
Back
Top Bottom