Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Screenshot_20240119-222217.png
Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake

Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna tija katika suala zima la ufanisi wa timu hasa katika upande wa mawasiliano na mahusiano

Yaani mchezaji akitokea Cameroon tunaambiwa Samuel eti kapendekeza, akitokea ivory coast eti didier drogba kapendekeza, akitokea senegal eti sadio mane kapendekeza na najua kwa sasa anatamani mchezaji atokee ama nigeria au south afrika aseme kuwa akina nwako kanu na ben macarthy ndiyo wamewapendekeza

Ushauri wangu kwa uongozi wa simba sc ni kwamba ianze kutafuta a competent club spokesperson wa kuendana na dunia ya sasa ya ushindani katika masuala mazima ya communication, media, pr and corporate affairs ila siyo kwa huyu ahmed ally kwani hatoshei na naendelea kusisitiza kuwa huyu siyo mwana simba sc 100% kama hata na wale wengine nao ali wao nae hata siyo mwana mafuriko ya vyura kwa 100% kwani hata marafiki na ndugu zake baadhi wameshasema hilo kitambo tu isipokuwa tajiri wa magodoro kachagua kuweka pamba masikioni
 
Ahmed Ally ni Simba, toka akiwa Azam TV alionesha mahaba yake kwa Simba. Kuna wakati Jakaya Kikwete alialikwa kwenye event ya Yanga, Azam waliirusha LIVE ile event, Ahmed Ally alimfata JK ili kumhoji na JK akamjibu mbovu, thread yake ipo humu.

Ahmed Ally ataonekana ni mbaya sababu ya mwenendo mbovu wa Simba. Mo anazidi kufurahi jinsi anavyocheza na akili za mashabiki wa Simba.
 
Simba acheni ramli chonganishi, mlimfukuza robertinho hakuna kilichobadilika, mkatuhumu wachezaji kuuza mechi mpaka leo kimyaa, mkamleta kocha wa 50m/mwezi timu ndiyo hiyo inafungwa na kitimu feki cha mlandege.
Sasa mmemrukia ahmed ali. Kwamba ni mamluki.
Na bado, msimu huu cafcl mtashika mkia kwenye makundi
 
Timu haina wachezaji hiyo mtalaumiana tu na usajiri wa uongo eti alimkaba CR 7 mabeki wanafungishwa tela kama mechi ya Mlandege utamlaumu msemaji?..
 
Shida iko wapi na priva na ali kamwe ni simba kwa hyo hapo ngoma 50/50
 
Kwahiyo Ahmed ni mwana Yanga kisa tu ana masihara na u komedi anapoiongelea Simba? Wananchi wenzangu hii mmeielewa au jamaa afafanue zaidi.
 
Back
Top Bottom