Yanga SC na Michuano ya CAFCL

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla.

Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani

Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo.

🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu

🙌Yanga kwa sasa ndio timu Bora hapa Tanzania
a)Umoja - viungozi na mashabiki
b)Uongozi Bora, Eng. Hersi
c)Uwazi
d) Mafanikio nk

NINI HASA KINAWAKWAMISHA YANGA KUFANYA VIZURI CAFCL?

1. Kocha si Bora katika mbinu.
Mechi kama ya Leo dhidi ya Medeama FC angelikuwa Prof. Nabi angechukua point 3

2. Mashabiki wa timu ya Yanga SC, wamejitoa katika jukumu la kuikosoa timu, hasa katika Michuano ya CafCl, labda kwa sababu wameshafikia malengo.

3. Ukosefu wa baadhi ya wachezaji katika maeneo muhimu ya uwanja Kiungo(box2box), 9, Winger.

4. OverConfidence Kuanzia kwa bench la ufundi mpaka wachezaji, hivo inasababisha kukosekana kwa utulivu

USHAURI WANGU( Nanyi pia mtaongezea)
1. Kocha aboreshe mbinu, High pressing n nzuri lakini iwe yenye mipango.

2. Mashabiki wawe realistic, watimize wajibu wao wa kukosoa

3. Uongozi ufanye usajili wa Middle(Holding/Box2box), Winger, 9, 3

4. Wafanye marekebisho ya mikataba hasa wachezaji wa ndani, ili timu iendelee kuwa imara yapasa iwatunze wachezaji Bora ilio nao kama Diara, Aucho, Pacome nk

Yote kwa yote, asanteni kwa kushiriki, chukue point 3 kwa Medeama, point 1 kwa CR Beluzdad ili angalau mfikishe point Point 6.

Bilashaka itakuwa historia katika timu ya Yanga,

Karibuni kwa hoja, wadau
 
Suala la kwamba malengo yao kwa musimu huu yalikuwa ni kuingia hatua ya makundi ya CAFCL tu ni UONGO. Na huu umeibuliwa na Watopolo wenyewe baada ya kusoma upepo na kuona hawawezi kuingia pale Mwakarobo anapoishia kila Mwaka.

Kwa hiki kinachoendelea, yafaa sana Mwakarobo aheshimiwe kwa rekodi yake ya miaka kadhaa ndani ya CAFCL.
 
Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla.

Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani

Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo.

Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu

Yanga kwa sasa ndio timu Bora hapa Tanzania
a)Umoja - viungozi na mashabiki
b)Uongozi Bora, Eng. Hersi
c)Uwazi
d) Mafanikio nk

NINI HASA KINAWAKWAMISHA YANGA KUFANYA VIZURI CAFCL?

1. Kocha si Bora katika mbinu.
Mechi kama ya Leo dhidi ya Medeama FC angelikuwa Prof. Nabi angechukua point 3

2. Mashabiki wa timu ya Yanga SC, wamejitoa katika jukumu la kuikosoa timu, hasa katika Michuano ya CafCl, labda kwa sababu wameshafikia malengo.

3. Ukosefu wa baadhi ya wachezaji katika maeneo muhimu ya uwanja Kiungo(box2box), 9, Winger.

4. OverConfidence Kuanzia kwa bench la ufundi mpaka wachezaji, hivo inasababisha kukosekana kwa utulivu

USHAURI WANGU( Nanyi pia mtaongezea)
1. Kocha aboreshe mbinu, High pressing n nzuri lakini iwe yenye mipango.

2. Mashabiki wawe realistic, watimize wajibu wao wa kukosoa

3. Uongozi ufanye usajili wa Middle(Holding/Box2box), Winger, 9, 3

4. Wafanye marekebisho ya mikataba hasa wachezaji wa ndani, ili timu iendelee kuwa imara yapasa iwatunze wachezaji Bora ilio nao kama Diara, Aucho, Pacome nk

Yote kwa yote, asanteni kwa kushiriki, chukue point 3 kwa Medeama, point 1 kwa CR Beluzdad ili angalau mfikishe point Point 6.

Bilashaka itakuwa historia katika timu ya Yanga,

Karibuni kwa hoja, wadau
Mtaongea kila maneno lakini tatizo sio mbinu za kocha au wachezaji bali ni timu mnazo kutana nazo.
Kiufupi timu mnazo kutana nazo ni bora zaidi ya mlizo kutana nazo shirikisho.

Huyo Nabi unaye msema sijui mbuni zake zingesaidia amesha furushwa kwenye michuano hii kwenye hatua za awali ,tena akiwa na wachezaji wenye quality ya juu kuliko wa yanga.
 
1. Wako makundi tofauti, angalau kundi la Simba limelegea
2. Currently, Yanga n Bora kuliko Simba
Limelegea Kwa kigezo kipi?
Na aliye kudanganya michuano hii unashinda mechi Kwa ubora ni nani?Joaneng anao ubora upi mbele ya wydad?Tp mazembe anao ubora upi wa kumfunga mamelod?Al Hilal ambao hawachezi ligi kuu wanaishi uhamishoni Wana ubora gani wa kuifunga Etoile du saleh nyumbani Tena 2-0?chukua hii ikufungue akili.
 
Najua huamini

Ila hakuna shabiki wa simba mwenye mawazo

Hata wachezaji pia

Makundi ni kitu cha kawaida sana kwetu ndo maana huoni nyuzi hizi za wanasimba 😀😀😃

Sisi hata tukitoa sare kesho there's still a big chance
Ila wewe sijui itakuaje

Tukutane kesho
 
Baada ya mchezo wa leo, nilijiuliza kama kweli bado Yanga ina nafasi. Nimechambua scenarios kadhaa na kujiaminisha kuwa Yanga bado ina uwezo wa kwenda robo fainali iwapo itashinda michezo yote miwili ya nyumbani dhidi ya Medeama na CR Belouizdad, na kulazimisha sare ya ugenini dhidi ya Al Ahly. Matokeo hayo yataipa Yanga point 9 na kuweka ugumu sana kwa timu nyingine kufikisha idadi hiyo ya point.
1702073136903.png

1702073191153.png
 
Baada ya mchezo wa leo, nilijuliza kama kweli bado Yanga ina nafasi. Nimechambua scenarios kadhaa ma kujiaminisha kuwa Yanga bado ina uwezo wa kwenda robo fainali iwapo itashinda michezo yote miwili ya nyumbani dhidi ya Medeama na CR Belouizdad, na kulazimisha sare ya ugenini dhidi ya Al Ahly. Matokeo hayo yataipa Yanga point 9 na kuweka ugumu sana kwa timu nyingine kufikisha idadi hiyo ya point.
View attachment 2837082
View attachment 2837083
Hongera Sana kwa uchambuzi huu
 
NI ujinga sana kuwasifia Yanga. Timu gani tokea Mwaka 1998 haijawahi kufika hatua ya makundi. Mbaya zaidi YANGA HAIJAWAHI KUSHINDA MECHI YOYOTE KWENYE CAF CHAMPIONS LEAGUE. Aibu kubwa sana hii halafu unakuta jinga fulani kichwa kimejaa makamasi Ooooh Makolo ooooh Mwakalobo shwaaaaaain kabisa.
Shinda hata mechi moja uonyeshe japo unaweza sasas pimbi nyie
 
Baada ya mchezo wa leo, nilijuliza kama kweli bado Yanga ina nafasi. Nimechambua scenarios kadhaa ma kujiaminisha kuwa Yanga bado ina uwezo wa kwenda robo fainali iwapo itashinda michezo yote miwili ya nyumbani dhidi ya Medeama na CR Belouizdad, na kulazimisha sare ya ugenini dhidi ya Al Ahly. Matokeo hayo yataipa Yanga point 9 na kuweka ugumu sana kwa timu nyingine kufikisha idadi hiyo ya point.
View attachment 2837082
View attachment 2837083
Fc Majedwali
 
Back
Top Bottom