Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,942
4,131
Ni kuchanganyikiwaaa au vipi

Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye

Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini,

Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama wa leo tena, tunajua mambo ya kupuuza na kuwapuuza wanaojiona wao wanaakili kumbe ni mazuzu

Naamini, huyu Shekhe Sijui Mwapopo, akiirejea clp yake kwa kuisikiliza tena na tena, atatutaka radhi Waislamu

Hawezi kutupangia vitu vya kufanya na tusivyotaka kufanya

Yeye kama ni mwana ccm, akae huko atulie, yaani mtu mmoja kashiba zake Daku, atuvuruge akili zetu Watanzania inawezekana wapi na wapi

Tunakampeni moja tu nchi nzima kwa sasa, Katiba mpya ama kususia uchaguzi nchi nzima

Nchi hii siyo ya Mwaipopo

Apuuzwe na watu wote huyu shekhe, kwani yeye kasemwa na nani kuwa mpenzi na mwanachama wa ccm?

Ugoro mwingine watu wasivute
 
Back
Top Bottom