Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,555
Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao.

Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania kuliko Waliokutangulia wakati hata Wewe rekodi yako ya Kimapato na Kimatumizi katika Wizara zote ulizokuwa si nzuri ila Ukaribu wako wa Kifamilia na Familia ya East African Queen Chief ndiyo Unakulinda na Wanakulinda ila nawe ni wale wale tu acha Kutuzuga.

Namaliza kwa Kukuambia kuwa Tanzania iliharibika rasmi Kiutendaji na Kimaadili tokea mwaka 2005 na ndiyo maana leo hii kwa Tanzania ukiwa Mpigaji ( Corrupt ) unasifika na kuonekana wa maana na ukiwa Mzalendo na Mweledi wa kweli na wa Kiasili kama GENTAMYCINE unaonekana Mpumbavu, Mshamba na Hufai kwa lolote wakati kwa Mwenyezi Mungu sisi ndiyo huwa Mashujaa wake Tukuka.

Mkitaka huu Upuuzi wote ufike Kikomo nchini Tanzania mwambie mwana Familia wako East African Queen Chief aanze upya Mchakato wa kulirejesha AZIMIO LA ARUSHA ambalo Wapumbavu na Walafi wawaliondoa ili waifikishe Tanzania pabaya kama ilivyo sasa.

GENTAMYCINE ni Bahari ambayo kamwe haikai na Uchafu. Ukipatia NITAKUPONGEZA na Ukikosea NITAKUSILIBA tu, hivyo mnivumilie lakini tafakarini na badilikeni huko Serikalini mliko.
 
Jamaa akiongea tena kwa nguvu kama yuko serious vile,
 
Nguvu wa Mamkwe.
 
Hoja hapa ni kwamba TAMISEMI imeoza. Period

Sasa iwe ilioza kabla ya Yesu kazaliwa ama lioza miaka ishirini iliyopita bado hoja ni Ile ile..... Imeoza!!

Kama aliyetumbuliwa juzi ni Mkeo basi tulia mle mlichoiba!!

Otherwise Mchengerwa ameenea vizuri sana kwenye hiyo Wizara. Kama wewe humuelewi basi sisi Watanzania tulio wengi tunamuelewa.
 
Back
Top Bottom