NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,854
Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k.
Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si wakamilifu ila wanahitahidi kuwa wastaarabu, kuongea kwa busara, ni rahisi kujichanganya na watu wa kawaida hata mitaani bila script, n.k.
Tunaendelea kuona nafuu ya kidemokrasia inayokuwepo pindi wanaposhika madaraka, hata vyama vya upinzani huwa vinapata nafuu na uhuru wa kujieleza unakuwepo, vyombo vya habari navyo at least vinakuwa huru kwenye kukosoa.
Mfumo wa vyama vya siasa vingi ulichochewa na Mwinyi, vyama vya upinzani vilileta upinzani ulioshiba kipindi cha Kikwete na hata walipomkosoa yeye hakuwa na tatizo na ni kipindi ambacho angalau mambo ya katiba mpya yalipewa ruhusa ya kujadiliwa
Kwa huyu mama yetu nae anaenda kwa step mdogo mdogo maana viongozi wengi aliowakuta hawafanani mawazo, hivyo hawezi kukurupuka, taratibu anaweka viongozi wake na kadri wanavyozidi kujaa kunakuwa na resistance ndogo ya yeye kuruhusu demokrasia ya uhuri wa kujieleza, vyama vya siasa kufanya mikutano, n.k.