vichekesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

    1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza mechi moja na Calabobo, No goal 5. 2021 amecheza mechi 22 na R.Cartagena , akapata Goli 8 6. 2020...
  2. LIKUD

    Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

    Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
  3. Replica

    Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
  4. Vincenzo Jr

    Vichekesho (Special thread)

    jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai. mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???" jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."
  5. ChoiceVariable

    Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  6. kyagata

    TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  7. D

    Kicheche -Msanii wa Vichekesho

    Wasalaam Wakuu. Kila leo ubunifu wa aina mbalimbali jinsi wasanii wanavyowasilisha kazi zao kwa hadhira inazidi kuongezeka. Kuna Msanii maarufu kwa jina la 'Kicheche', ana namna yake ya kipekee ya uwasilishaji. Kiukweli anajitahidi sana na watu wengi wanamuelewa. Amefanya aina nyingi za kazi...
  8. Orketeemi

    Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  9. Shujaa Nduna

    Msanii wa vichekesho, Joti jitathmini katika hili

    Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi, lakini bosi akamtaka kimapenzi ili ampe kazi na aliposhindwa kugawa uroda bosi hakumpa kazi. Joti...
  10. Kijakazi

    Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
  11. N

    Acheni kuchukulia serious, reports za CAG ni kama comedy shows, vichekesho 100%

    Ni kama routine tu ya kibaolojia kwamba itabidi uende haja ndogo na kubwa ili mwili uendelee ku operate, ni kama routine kwamba itabidi ule ili u survive. Ndivyo ilivyo reports za CAG kwa Tanganyika na Zanzibar, pesa zinapigwa kwelikweli, reports zinasomwa kila mwaka upigaji unaongezeka nobody...
  12. K

    Spika kujifanya mpinzani ni vichekesho

    Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri. Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama. Hii haisaidii nchi...
  13. R

    Wenye kipaji cha kutengeneza matangazo ya biashara kwa njia ya vichekesho tuwasiliane

    Habari wandugu, Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni. Kama kuna watu wenye kipaji cha kutengeneza matangazo kwa namna hiyo na hawajapata nafasi ya kupata kipato...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  15. Red Giant

    Vitabu vya vichekesho.

    Tuachane na comics, ni kitabu gani ulisoma ukacheka sana. Mi nilisoma kitabu kinaitwa Haifai. Hiki kinazungumzia jinsi ya kujiendesha kwa adabu katika mazingira mbalimbali. Muandishi anaitwa Abdu Baka, ni cha zamani, miaka ya 60 huko. Hiki kitabu kinafurahisha sana. Kingine nilichocheka sana...
  16. N

    Mijadala haipo kwa ajili wananchi - wanakula hela zetu tu

    Hata siku moja hutasikia kamwe kuna Mpango au Bajeti imepingwa na imesababisha mjadala mzito na wenye manufaa kwa wananchi. Jana usiku nikaamua kufuatilia kilivyokuwa kipindi cha bunge - yaani kupitisha Bajeti - nilicheka sana sana yaani (kwa sauti ya Mtumishi Magembe). Yaani alianza Shangazi -...
  17. M

    Vichekesho

    Mvuta bangi alijiona uchi akadhani amevaa suti akauliza wenzake suti imemtoa aje . Mmoja waoakamjibu poa sana ila tu tai umefungia chini sana. Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto...
  18. Tumaini CN-CNB

    Mabadilishano ya Utamaduni-Vichekesho

    Kuna tofauti gani baina ya vichekesho vya Kichina na Kiswahili? Tafadhali lete baadhi ya vichekesho vya Kiswahili hapa, tuvilinganishe. 1.NZIGE Wakati Bwana Bababa alipokuwa mkuu wa Wilaya ya Kilolo, mwaka mmoja kulitokea jua kali, nzige walionekana kila...
  19. T

    Sinema (movie) za Vichekesho za watoto ambazo sio Katuni

    Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila ningependa kuzijua zaidi ambazo si za katuni.
  20. J

    Uchaguzi 2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

    Karibu Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana. Chanzo: ITV ======== Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae. Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
Back
Top Bottom