Habari Wana JF.
Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k.
Nahitaji kuivuna na kuichoma mkaa na kwa makadirio zitapatikana takribani junia(gunia) 400.
Sasa naomba mwenyekujua gharama zote za...
Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira
Wananchi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia nishati ya Gesi badala ya kutumia mkaa na kuni katika shughuli za mapishi ili kutunza na kulinda mazingira.
Wito huo umetolewa na Mbunge wa jimbo...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa
Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
Habari zenu wanajukwaa,
Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba.
Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga.
Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
Hili suala liko wazi kabisa.
100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.
Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine miti yote ya dawa tofauti..
Weekend ikiwa inaishia nawasalim.
Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu
Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
Nawasalimu ..Tuchepuke kidogo na bandari halafu turudi.
Hakuna namna misitu itakwisha tu bila kuweka mbele kipau hiki cha nishati..madhara yake hatuwezi kuyaona leo na utakuta ikifika kiangazi ndio tunaanza kulialia na mvua tunaanza vikao na mikutano ya kujadili hali ya hewa..mvua zikianza...
Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia!
Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja!
Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii.
Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa!
Kwasasa napotaka kuanza...
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
"Systemic problems requires systemic solutions"
Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao.
Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa letu.
Ingekuwa hiyo gesi tunachimba wenyewe na tungeweka hata bei ya chini sana ambayo ingewafanya...
Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k
Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili;
(1)mazingira ya vijijini
(2)mazingira ya mijini...
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote.
Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
Pia soma...
Poleni na mihangaiko ndugu zanguni.
Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa?
Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa?
Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.