Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,333
10,049
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .

Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza.

Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema kwamba Dodoma inaizidi Mwanza uzuri.

Lakini Kwa sasa baada ya kukaa Mwanza na kutembelea maeneo tofauti tofauti nakiri wazi kuifananisha Mwanza na majiji Kama Arusha au Dodoma ni utovu wa nidham na ukosefu wa hekima.

Kwa mantiki hiyo naomba Wana Mwanza mnisamehe . Nimekosa Mimi , nimekosa Sana.
 
Tumekusameh sis ni wakarimu sana
 
Kila goti litapigwa...
 
Kutenda kosa si kosa Ila ukirudia kosa wala usitengeneze uzi nenda moja kwa moja kwa mods taarifa zako zitakua zishafika.
 
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .

Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza.

Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema kwamba Dodoma inaizidi Mwanza uzuri.

Lakini Kwa sasa baada ya kukaa Mwanza na kutembelea maeneo tofauti tofauti nakiri wazi kuifananisha Mwanza na majiji Kama Arusha au Dodoma ni utovu wa nidham na ukosefu wa hekima.

Kwa mantiki hiyo naomba Wana Mwanza mnisamehe . Nimekosa Mimi , nimekosa Sana.
Hata kama ungeendelea kuamini hivyo kwamba Mwanza inapitwa na Arusha na Dodoma ni sawa tu kwa sababu bado Mwanza itaendelea kushika namba mbili baada ya Dar. Kwa hiyo ungeendelea kujisumbua tu.
 
Mwanza kutamu hapo hujafika Musoama uone miti ya krismass inavoongea weeee
 
Back
Top Bottom