Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

Kwa ufupi ilikuwa ni kueneza msalaba kwa kumwaga damu za watu. Maarufu "Crusada".

Kisa ni kirefu sana, mauwaji yalikuwa yakutisha kila walipokanyaga duniani.

Ntarudi hapa kumwaga vipande kila nnapojaaliwa.
ISIS, Boko Haram, Al-Qaeda, Al Shabab n.k bado hawajotoka enzi hizo. Reforms ni muhimu sana kwa dini yoyote.
 
Wakatoliki walishakubali hayo yalikuwa mambo maovu na ya aibu kubwa. Twende upande wa pili
Mpaka sasa kanisa katoriki linaendeleza siasa za kichochea mauaji duniani kote sema sio moja kwa moja.

Na mbaya zaidi limeanzisha kampeni za kiharibifu ndani ya jamii kama ushoga.
 
"Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo , walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali ." -Mathayo 7:15.

"Tulikuja kama kondoo na kutawala kama mbwa mwitu ."

Katika Ukristo wote walio kuwa wanaupinga uroma na Upapa walionekana ni hatari na ni maadui wakubwa wa upapa . Ili Kuwashinda Roma ilifanya marekebisho kadhaa, Roma iliunda vikosi vipya, ikitegemea kukamilisha uharibifu wake. Kwa wakati huo agizo la Wajesuti liliundwa, la kikatili zaidi, lisilofaa, na lenye nguvu ya mabingwa wote.



Waliangamizwa wote waliokua na mahusiano ya kidunia na masilahi ya kibinadamu, wengi walikufa kwasababu ya upendo wao wa kimungu, sababu na dhamiri kabisa hawakujitenga, hawakujali sheria za upapa , hawakuogopa kunyongwa, lakini ile ya utaratibu wao, na hawakuwa na jukumu lingine zaidi ya kuongeza nguvu yao.



Injili ya Kristo ilisababisha wafuasi wake kukutana na hatari na kuvumilia mateso, walipambana na baridi, njaa, taabu, na umaskini, walishikilia bendera ya ukweli mbele ya mgongo, shimoni, na mti. Ili kupambana na nguvu hizi, Ujesuit ulijiingiza kwao kama wafuasi wao wakijifanya na wao wameongoka, Jesuits walijifanya kuvumilia kama na wao wapo kwenye hatari, na kuhubiri nguvu ya ukweli na kuacha silaha zote za udanganyifu. Hawakufanya uhalifu wowote mkubwa sana kwao, hawaku fanya udanganyifu ule ambao ulikuwa msingi kwao walijifunza zaidi kuishi kama wa Maagizo ya Yesu , Hivyo Jesuits walijiingiza kwao na walificha ubinafsi wao . Waliapa kwa umasikini wa milele na unyenyekevu, Hii ilikuwa kusudi lao la kusoma ili kupata utajiri na nguvu, ili waweze kuupindua Uprotestanti, na kuanzisha tena ukuu wa upapa.



Jesuit walijionyesha kama washiriki wa agizo lao, walivaa mavazi ya utakatifu, wakitembelea magereza na hospitali, wakihudumia wagonjwa na maskini, wakidai kuwa wameutupa ulimwengu, na kubeba jina takatifu la Yesu, ambaye alienda.
baadae waliunda dini bandia ambayo ilitumika kama silaha kuangamiza wote walio kuwa ni kikwazo kwao .
 
jiulize ww kwanin mnaua watu wasio na hatia kwa upanga na silaha , by alshabab , is , al ansar etc je ni sawa kuua watu wenye imani yao ila sio sahihi wakristu kuua wapagan ambao walikuwa wanachochea ghasia kwa imani zao za kishirikina?
Asilimia 80 ya mauaji ambayo yalisha tokea ndani ya dunia hii yame fanywa na wakristo.
 
kwann tuende mbali haya ya leo huyaoni ? je kuna faida gan kuacha haya ya alshabab , boko haram , al answar , is central africa , halaf tujadili mamb ya zamn kbs , au hayo ya wakristu kueneza ukristu huko baran kwao( maana haikuwa nje ya ulaya kama Mohamed aliua waafrika magharibi na kaskazin kueneza dini yake ) je hayo ya crusade baran ulaya yanahalalisha chochote wanachofanya akina alshabab , boko haram au is central africa au janjaweed au al answar kwa kuua na kuchinja waafrika wenzao
Wewe mgalatia jikite kwenye mada acha kuzungusha kiuno hapa,haya matakataka unayo andika hapa nenda kafungue thd yako tutakuja kujadili huko,acha kudivert mada.
 
Ukristo siyo Ukatoliki wengi hawajui hii kitu Ukatoliki umeuvaa Ukristo kama vazi tu ukiutumia kufanikisha mambo yake . Ukisoma Biblia na ukiungalia Ukatoliki ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mkuu hebu funguka zaidi,unaonekana kuna jambo unalijua zaidi.
 
Tuanzie na kwanini Papa alitangaza crusade? Ilikuwa response ya nini.

Turudi nyuma kabla ya crusade Waislamu walifanyaje mpaka Uturuki nzima ikawa ya Waislamu watupu na Constantinople ikatekwa makanisa kubadilishwa kuwa misikiti na mji kuitwa Instanbul. Kwanini Agia Sofia lilikuwa cathedral na uislamu ulioingia na Ottoman empire ukalifanya msikiti kabla ya Mustafa Kemal Ataturk kuzuia hilo na baadae miaka hii ya juzi Erdogan ndio akalifanya msikiti.

Turudi kule Spain ambako Uislamu uliishia na mapigano yakaanzia kuuondoa. Uislamu uliingia na kuondoa tawala za kifalme pale Europe, Habsburg empire kule Austria Hungary ikakataa na kuanzia uko milimani kupigana na Waislamu. Sio dini wala Papa aliwaagiza. Sababu zilezile zinafanya Waislamu wapigwe India na Myanmar ndio hizohizo zilifanya wapigwe Ulaya. Au India nao wako chini ya Papa?

Unajua kwamba Mehmet II Sultan wa Ottoman maarufu kama Mehmet the Conqueror alikufa akiwa kwenye march ya kuivamia Italy? Ukouko ambapo kuna Rome makao makuu ya Roman Catholic? Ndio huyohuyo aliiteka Constantinople na kuhitimisha Byzantine empire ya Wakristo na wasio na dini. Sasa ulitaka crusader isitokee Waislamu wachukue Rome?

Yaleyale, wafyatue maroketi mshangilie, wapigwe mabomu mdai haki za binadamu.
Dini kuu mbili yaani Ukrisito na Uislam vilipata nguvu kwa sababu ya upanga hilo halina shaka na yeyote atakaye bisha juu ya hilo ni mwenda wazimu.

Ila waroma walivunja recod ya mauaji ya watu wengi hapa duniani na sidhani kama kuna watu watakuja kuvunja rekod yao, maana waliuwa mpaka wakristo wenzao ambao halijaribu kuhalihasi kanisa katoliki.

Wakatoriki waliivamia bara la America na kawanagamiza mamilioni ya wahindi wekundu.

Na pia katika miaka ya hivi karibuni kanisa limekuwa likihusishwa na kashifa mbovu za mauaji mfano mauaji ya kimbali nchini Rwanda.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa Ottoman kipaumbele chake kikubwa kilikuwa ni kutanua imaya yao, suala la dini walikuwa hawalipi nguvu sana kiivyo na ndio maana ndani ya Ottoman kulikuwa na wakristo na wapagani kibao na hawakuwahi kuuawa ,tofauti na upande wa utawala wa waroma ambao wapagani walikuwa wana uawa.
 
Back
Top Bottom